Nahitaji mke

hivi kwa nn hampendi wanawake weusi kila anaetafuta mke kigezo cha rangi maji ya kunde au mweupe lazima kiwepo
Alafu wangejua kua wanawake weupe original ni wachache sana... Asilimia 80 ni mikorogo!!! Kuna mdada jamani alizaliwa mweupeee lakini hajaridhika na bado kajikoboa zaidi
 
King'aacho ndio mpango mzima, ndio maana siku hizi KE wanaojichubua au wapaka mkorogo wameongezeka maradufu kutokana na hilo
Ni kama virginity... I can be like them if i want but they can never be like me... Ever again!
 
Mm nahisi kuna haja serikali iingilie kati suala la kutafuta wake na waume maana imekuwa shida ya kitaifa
 
Mimi pia nilitoa tangazo kama hilo ila sikuweka kigezo cha dini wala umr ...mods wakalitoa faster cjajua tatizo hebu mnisaidie
 
Ni kwel yaani wanaboa kwel unakuta mdada mzuri tu with her natural colour white bado anajilipua na mikorogo hadi anaharibu sura yake sijui huwa wanataka nn?
hqdefault-1.jpg

Eti huyu nae alikua mweusi kama paprika hapa!!!
Saivi anatengeneza mkorogo wake!!!
 
Kwa hali hii namshukuru mungu kwa kuzaliwa mweupe pia inabidi nioe mke homozygous white ili endapo nikapata vibinti visije kuhangaika namna hiyo
Labda kabla hujaoa fuatilia hadi picha za utotoni!!! Sasaivi michubuko ipo so advanced ni ngumu kujua!!! Yaani mimi wala sitamani weupe... Sijui kwanini!!! Ndo mana niko radhi kupaka mafuta ya kupikia kama sielewi lotion ina ingredients gani
 
Labda kabla hujaoa fuatilia hadi picha za utotoni!!! Sasaivi michubuko ipo so advanced ni ngumu kujua!!! Yaani mimi wala sitamani weupe... Sijui kwanini!!! Ndo mana niko radhi kupaka mafuta ya kupikia kama sielewi lotion ina ingredients gani
Mkuu huku kwetu colour unakuta ni ya ukoo mzm not one family member, hapo ndio utashtukia mikorogo. Na kwa kuwa nimekulia maeneo yenye pure homozygous white nawajua vzr wa mikorogo wabaki nayo tu
 
Black
Internal 16 gb
Os iwe mashmallow or kitkat

Mkuu unachagua mke kama unanunua simu..wanawake poleni sanaa kwa staili hii biashara ya vipodozii itakuza uchumi wa viwanda..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom