Recent content by Tajirimtata

  1. T

    Vodafone 875 Smartmini Custom Rom Needed

    Hiyo Custom Rom ya Vodafone Smartmini ni Stock au tofauti na Stock maana natafuta Ambayo ni juu zaidi ya 4.1.1
  2. T

    Vodafone 875 Smartmini Custom Rom Needed

    Mwenye Download link ya vodafone 875 Smartmini Custom Rom Ambayo iko compatible na hii smartmini comment hiyo link hapa
  3. T

    Mpenzi wangu kaniomba msamaha

    Niliachwa Jumatano nilipitia maumivu yasiyoelezeka, nilijiona sina thamani ila Ninafuraha sana mda huu jioni hii kaniomba msamaha tumerudiana and I,m So Happy, ila nilikuwa naumia Sana ila uzuri karudi kwangu na nimeisha msamehe I hope for the best for Both Of Us. She's my Future Wife
  4. T

    Nimeachwa na mpenzi wangu

    Asante Bro Dah!!
  5. T

    Nimeachwa na mpenzi wangu

    Truu Kweli kabisa
  6. T

    Nimeachwa na mpenzi wangu

    naumia sana Jamani
  7. T

    Nimeachwa na mpenzi wangu

    Mapenzi ukipenda sana ukajisahau siku ukibadilikiwa inauma sana, tena ukitegemea huyo ndio utakuwa naye baadae akikuacha unahisi umepoteza kila kitu yaani kama huna thamani tena, I Wish she Could Stay but She Choose to left me, I Feel Empty Inside . I Will Always Love Her
  8. T

    Nimeachwa na mpenzi wangu

    Kaniacha ananiambia anataka a struggle na life mwenyewe nimemwambia si tu struggle wote kakataa kaniacha , i still love Her , Bado nampenda sana na namwitaji kwenye maisha yangu.(tunaumbali ila hatujaonana karibia mwaka mmoja sasa yeye yupo shule)
  9. T

    Nimeachwa na mpenzi wangu

    itachukuwa mda mrefu sana
Back
Top Bottom