Recent content by Tajiri mweusi

  1. T

    Air conditioner free installation

    Habari Mpya Kutoka Sirione company Limited, Tunajihusisha na kuuza, kusambaza , kufunga na kutengeneza air conditioner, coldrooms na chiller, Nunua kwetu air conditioner na uufungiwe Buree kabisa Gree 9000 btu split unit 850,000 free installation Gree 12000btu split unit 950,000 free...
  2. T

    Ikulu yakanusha taarifa kuhusu Rais Dkt. Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii

    Serekali ina intelijensia ya hali ya juu kama wanavyojinadi tulitegemea kupata majibu kutoka kwao nani muuwaji hapa hatuangalii rangi ya nguo tunaangalia adui anayetuangamiza
  3. T

    Ikulu yakanusha taarifa kuhusu Rais Dkt. Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii

    Wakanushe ila tunasubiria majibi ya mkuu wa nchi kama waziri anafikia kutoa kauli za taifa kutenda ukatili hadharan na hamjatoa kwanini tusiamini mauaji yote yanayotekea kuwa ni serekali inafanya? Tuishi kwa misingi ya katiba sheria na haki za binaadamu Mi najiuliza bint aliyeuwawa na polis...
  4. T

    Jemedari wa Tanzania mpya uko wapi?

    Habari wanajamvi nimekaa nikawaza sana huyu kamanda wa tanzania mpya katiba ya wananchi Deusi Kibamba amepotelea wapi? kibamba Jitokeze muda wa majeruhi tupate Tanzania mpya
  5. T

    Nipigie upate mkopo wa haraka hadi million 30

    mi siyo muusika ila ni mmoja kati ya watu niliyonufaika na fursa hiyo ya stanbic
  6. T

    Nipigie upate mkopo wa haraka hadi million 30

    Project hiyo imelenga kuwasaidia wajasiria mali wa maeneo hayo tu ila sina majibu ya kujitosheleza kuhusu hilo maana mimi biashara yangu ipo kariakoo kwa maswali muulizeni huyo jamaa wa stanbic bank
  7. T

    Nipigie upate mkopo wa haraka hadi million 30

    STANBIC Bank (Tanzania) has started to issue unsecured loans to Small and Medium Enterprises (SMEs). Tanzania is the fourth African country, after Kenya, Ghana and South Africa to start receiving such loans under Stanbic's innovative ideas. And, since the scheme was introduced in the market...
  8. T

    Nipigie upate mkopo wa haraka hadi million 30

    malipo yanafanyika through bank account na marejesho laki 5-5millions ni miezi 6 na milion 6-30 ni mwaka mzima with interest rate of 2.5% per month
  9. T

    Nipigie upate mkopo wa haraka hadi million 30

    Ndugu zangu watanzania wenye biashara maeneo ya kariakoo, mwenge, tandika na ubungo kama una biashara ambayo imesajiliwa na unahitaji mkopo usihangaike wasiliana na huyu mtu 0713 691620 anatoa mkopo laki tano hadi million 30 anahitaji tin number,business licence,national identification(pasport...
  10. T

    Epuka usumbufu wa simu sasa

    sasa hiyo si call diversion?
  11. T

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    Anazeeka anakosa Busara bado kidogo atamuita mkewe nyani.
  12. T

    nawezaje kutuma sms kwa kutarget tu watu wa mkoa mmoja hapa tz?

    Niliongea na hawa jamaa wa Efulus waliniambia inawezekana ila nadhani kuna sheria inawabana wanasema mambo ya social work, majanga na matukio fulani wanafanya ila biashara na siasa ni Hiari ya mtu niliachia hapo baada ya kupata usumbufu anyway we nenda voda au zantel ni waelewa sana ila tigo na...
  13. T

    nawezaje kutuma sms kwa kutarget tu watu wa mkoa mmoja hapa tz?

    ninachojua mimi ni unasajili short cord yako yaaan 157777 mfano kutoka tcra then number ile unaenda kwa kampuni ambayo watahold hiyo number kwa kutumia server mfano maxmalipo,efulus then utaingia mkataba na makampuni ya simu kama ni tigo, voda n.k juu ya malipo ya hizo sms then unatangaza watu...
  14. T

    Kama ningekuwa Mh Pinda ningejiuzulu

    anasubiria mafao yake jamani mwache avurunde mwishowe arudi Mpanda kupumzimka na Heshima yake ya waziri mkuu mstaafu
Back
Top Bottom