Wakati wengine wake zetu ni wasomi na tunataka kukimbia nyumba kwa kudaiwa tuipige papuchi daily wakati mkuyenge unagoma kutokana na stress za mzee magu kumbe wengine bado mnatabikia papuchi daaaa, pole sana mkuu,
Ushauri:
Usimtie huyo house girl bali tafuta mchepuko sehemu ila uwe eneo la...
Wakuu naomba mniombee nivuke salama miaka yote ya kuwa na msichana wa kazi ndani kwangu maana ni kwa mara ya kwanza ndio tunakuwa na binti wa kazi hapa kwangu ambapo tupo mm na wife tu na wote tuko bize kidogo!
Mniombee ili sheitani awe ananipita mbali nisije nikaharibu familia yangu...
Ukiachana na hilo la ikungi kwa Lissu sijui kupoje, ila Mtwara na Lindi ndio tumaini na kimbilio lililobaki nchi hii ukiacha miji mikubwa na muhimu tu,
Nadhani Umezaliwa maeneo yale ambayo watu hawatembei huwa siku zote wanasikia tu na kukariri stori za Mtwara na lindi[emoji2] [emoji2] [emoji2]...
Naunga mkono hoja mkuu!
1. Mchepuko ni muhimu
2. Mke wa ndoani muhimu zaidi
3. Mchepuko yupo ili kumsaidia mke wa ndoa yale ambayo yamekuwa magumu kidogo, mchepuko ni kama dada wakazi kwa familia iliyo bize.
Ha ha ha ha wala haihitaji mbwembwe zozote wala mipango ili ww uendelee kuwa mzima, uzima ni suala la muumba,
Hapa imetajwa mipango ya kibinadamu na sio mipango ya mungu (kama vile uzima),,,, au ww hukuwa na mipango kabisa badala yake uliamua kumuachia mungu tu mambo yote?
Na kama forex ni kamari concetrate kwenye kutueleza tusiofahamu ni kwa namna gani hiyo forex ni kamari na ni kivipi kamari hii imefanikiwa kupata mitaala mavyuoni utakuwa umetusaidia wengi,
Tuelimishe from the scratch na tuambie ni kipi kinafichwa na hawa watetezi wa forex ambacho ndicho...
Ukiacha muktadha wa forex mkuu, unadhani watu wote wanaofanya kazi ya uzalishaji mali ndio wanasonga mbele?
1. Wapo wakulima wanalima na bado wanapata hasara e.g rejea wakulima wa mbazi na choroko kusini mwa Tz mwaka huu
2. Wapo watoa huduma mbali mbali ambao wamekwama na kufunga shuguli za...
Ha ha ha ha wengi mmepaniki nadhani ni kutokana na frustration za kuwa na wanawwke wasiowaletea mabadiliko chanya, lakini pia unaweza kukuta mijitu mingi humu iliyopaniki imeoa wanawake ambao ni magolikipa hivyo linapokuja suala la kumdai mke fidia kutokana na makosa ya kisheria basi anaona vitu...
Kwa hiyo unanishauri nimshtaki haraka ili nichukue changu mapema kabla mambo hayajageuka? Maana hujashauri chochote badala yake umetoa utabiri tu wa huko tuendako mkuu! Waiting to hear from you bro!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.