Recent content by taishingoni

  1. T

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

    Kuna ile ya makaburi ya wasio na hatia! Endeleza ile Shunie
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imenikera. Hivi inawezekana ikawa ni kweli anachosema!?

    Inaonekana kwamba wewe ndo uliyeolewa hapo! Vinginevyo libwata limekolea
  3. T

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Makaburi ya wasio na hatia

    Nadhani Togo keshakufa
  4. T

    JamiiForums Tanzania NILICHOKIONA RITA AISEE VUDUME MKAE VIZURI

    Nimetoka kapa, sijaelewa ulitaka kutoa ujumbe gani!!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Makaburi ya wasio na hatia

    Ile hadithi ndo imefika mwisho?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Hadithi kali ya kusisimua

    Anza na kasi hapa mwanzo, tusije tukasahau
  7. T

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke siyo kwa ubaya ila ni ushauri tu, punguza mbwembwe na mikogo

    Binafsi sijaona tatizo nadhani ndo namna aliyoichagua ya utangazaji, ili awe tofauti na wengine
  8. T

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

    Hahahahaha....
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha

    Kuna ukweli katika ujumbe wako
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa simu, utakayeinunua nalala na wewe mbele, labda isiwashwe daima

    Pole sana, Mimi niliibiwa Pia Mwezi huu wa saba Mwanzoni, ilichukua siku mbili tu kutia mikononi Mwizi wa Simu.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Poleni Makete kwa hili baridi la Centigrade 8

    Kwa baridi hiyo hata dushe linatetemeka, huo ukimwi utapata vipi?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kama huyu ( pichani) ndiye Ebitoke, nakubaliana na wanaosema haendani na Ben pol ( mbovu)

    Yaelekea mtoa uzi roho inakuuma sana!sio bure kuna jambo kati yako na ben pol.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

    Sasa anakalia nini??
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rufaa vyeti feki/utata hadharani

    Japo niwe namba mbili leo
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ila wanaume wanasiri nzito

    Uliponyonya ilisimama??
Back
Top Bottom