Recent content by TaifaJipya

  1. T

    JamiiForums Tanzania Halotel ni wababaishaji siku hizi

    Ujumbe wa kwenye hiyo picha unamaanisha km umekosea menyu ya kujiunga na sio kuongeza salio.. mfano kujiunga *148*66# ww ukaweka *148*55# wakati laini yako sio ya chuo...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutoa call baring kwenye laini ya Vodacom,

    Barring inasetiwa kwenye mtandao sio simu... naamaanisha hata akiitoa hiyo laini na kuiweka kwenye simu nyingine tatizo bado litakuwepo.. rahisi ni kuwasiliana na mhudumu kwa wateja kwani inawezekana kaweka yeye kwa makusudiau au bila kusudi au kazuiliwa na mtowa huduma wake
  3. T

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa ya angani (Airship) kusafirisha nje (export) Gesi kutokea Tanzania

    Ndegeputo na sio ya ndege angani msingi wa jina ni ile hali ya kuelea km meli au puto pia ndio kinachotofautisha kati ya ndege za kawaida ' aeroplane' na airship ingawa zote ni aircraft..
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata talaka kwa imani ya kiislam kwa mwanamke

    miaka miwili na nusu bila kushiriki tendo la ndoa si ni TALAKA tayari? anaweza fanya mambo mengine hata kuolewa... au unamaanisha unattaka msaada wa kugawana mali? waliyochuma?....
  5. T

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa hawa, CCM itajipatia Katibu Mkuu mpya

    anaishi humu?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kiba hatumiki kwenye matangazo?

    MKATABA M100 ya kwako laki saba, 99.3m wanachukua wazee wa fursa (watu wa kati) hii pia husababisha wasanii wanaojielewa kukacha matangazo hayo munayoyalilia
Back
Top Bottom