Recent content by Taifa Digital Forum

  1. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania "Go to the Vast Countryside"

    Today, we're going to delve into the fascinating history of the Yanghzou slogan and its profound lessons. Join me as we journey back in time and uncover the significance of this ancient wisdom. Historical Context Nearly 2500 years ago, leaders, often referred to as "elders," in the city of...
  2. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Polisi wanasa katibu wa CUF na mtumishi wa halmashauri Kibiti wakitengeneza vyeti feki

    Jeshi la Polisi wilaya ya Kibiti limemkamata Rashid Mkinga (36) kwa tuhuma za kutengeneza Vyeti feki vya kuzaliwa. Tukio hilo lililotokea Januari 15, 2024 majira ya saa 1 usiku katika Kitongoji cha Kibiti B, Kata na Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani. Katika mahojiano ya awali yaliyofanywa na Jeshi...
  3. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Hekari 125 alizozitoa Rais Samia EAC zina maana kubwa kwa Tanzania

    Mwaka huu 2023 Mwezi Machi 05, Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikabidhi hati ya kiwanja chenye ukubwa wa hekari 125 kilichopo eneo la Kisongo Arusha kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwajili ya ujenzi wa Kituo kikubwa cha Diplomasia Afrika. Hii inaishara kwamba Tanzania inakuwa kitovu...
  4. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Tangu Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani mahusiano ya nchi ya Tanzania na nchi nyingine Duniani yameongezeka maradufu, kwani kumekuwa na ongezeko kubwa la viongozi mbalimbali wa nchi duniani kuja Tanzania kwajili ya ziara za kitaifa yote yakichagizwa na juhudi za Mhe. Rais Dkt...
  5. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi pamoja na kuvunja Bodi ya TCRA

    Taaifa hii imetolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais - IKULU Nov 9, 2023
  6. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania KKKT waunga mkono uwekezaji Bandarini, TEC nao wataunga tu

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari. Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa hilo. VIDEO:
  7. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Picha mbalimbali za Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Maonyesho ya Nanenane, 2023 Jijini Mbeya.

    Leo ni kilele cha sherehe na maenesho ya Kimataifa ya wakulima Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya. Tazama picha na matukio mbalimbali yanayofanywa na Mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Sent using Jamii Forums...
  8. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Podium anayotumia Rais Samia ipo sahihi

    Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya watu wamekuwa wakihoji PODIUM anayotumia Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwamba (haijakamilika) yaani haina Bibi na Bwana pamoja na Mlima Kilimanjaro kama ilivyo kwenye Nembo ya Taifa. UFAFANUZI: Ukiona 'Podium' yenye nembo inayoonekana hapo chini, jua...
  9. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Mataifa 10 yanayouza Mafuta kwa bei ya Juu, Tanzania haimo

    Kwa Mujibu wa mtandao wa GlobalPetrolPrices.com unaotoa takwimu za Bei za Mafuta kote Duniani, tarehe 4 Agosti ilitoa Orodha ya Nchi Kumi za Afrika zenye bei kubwa ya Mafuta ya Nishati ambapo baadhi yake zinauza juu ya Wastani wa Bei za Dunia na nyingine zikiuza sawa na bei ya wastani na Bei ya...
  10. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Simba Agosti 6, 2023 yatakayofanyika katika Uwanja wa Taifa, Jijini Dar Es Salaam.
  11. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Serikali imetangaza kuanza Ukarabati wa Uwanja wa Taifa "Uwanja wa Mkapa" kwa gharama ya Tshs. Bilioni 30. Uwanja huo haujakarabatiwa kwa miaka 16 tangu uzinduliwe mwaka 2007. Chanzo kimeeleza kuwa, Marekebisho makubwa yamepangwa kufanyika ikiwemo kubadilisha viti vyote, kubadilisha mifumo ya...
  12. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kisiwa cha Amani, Kubeba Mkutano wa Wakuu Nchi Zaidi ya 30 za Barani Afrika

    Na:- Diplomatic Agent Ni heshima kubwa kwa Taifa la Tanzania, Taifa la Kidemokrasia na lililojipambunua vyema katika masuala Diplomasia Kimataiafa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za zaidi ya 30 za Afrika utakaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC)...
  13. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Klabu gani ya Mpira imetoa jezi nzuri kuzidi wote mwaka huu?

    Michezo ni moja ya sanaa inayokuwa kwa kasi kubwa nchini Tanzania, katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mijadala mkubwa juu ya masuala mbalimbali yanayoingusa tasnia hiyo kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa soka [emoji460]️. Leo tunakusogezea Jezi Mpya za baadhi ya Vilabu vya Soka Tanzania...
  14. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Kibegi cha Simba chawasili juu ya Mlima Kilimanjaro

    Wengi wanajiuliza yaliyomo yamo?
  15. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Serikali yawaonya viongozi wa halmashauri wasiodhibiti kilimo cha mirungi

    Kamishna Jenerali Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini (DCEA), Aretas Lyimo ametoa onyo kali kwa viongozi wa ngazi ya halmashauri watakaobanika kutochukua hatua stahiki kuhusiana na kilimo cha mirungi, na kusema kuwa watachukuliwa hatua za kisheria bila kujali nafasi zao. Kamishna...
Back
Top Bottom