Recent content by Tai Mwepesi

  1. Tai Mwepesi

    Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

    Movie za bongo ni upuuzi mtupu.zinaharibu jamii.
  2. Tai Mwepesi

    Ukifahamu ukweli utakuweka huru

    Ahaaa povu jiiingi hoja hakuna unalalamika tu.ww vipi.elezea ubaya wa gwajima ww ArD67.
  3. Tai Mwepesi

    Ukifahamu ukweli utakuweka huru

    madhaifu ya gwajima ni yepi.mtikira nilikuwa namjua kindakindaki.
  4. Tai Mwepesi

    Ukifahamu ukweli utakuweka huru

    Kuna watu wanasema eti GWAJIMA amesema imetosha eti kwa sasa akae kimya[emoji40]mimi nasema hapana lazima aendelee kupiga kelele maana ni agizo la aliyempa uasikofu na utume mkuu. tena Gwajima anaagizwa apaze sauti kama tarumbeta[emoji448]. ISAYA 58:1 Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama...
  5. Tai Mwepesi

    Wewe ni nani hata usikosolewe?

    Na kwanini uogope kukosolewa? kuna nn nyua ya pazia?
  6. Tai Mwepesi

    Manji na Gwajima waondolewa Kituo cha Polisi na gari jeupe chini ya ulinzi kuelekea katikati ya jiji

    Kwani hii ni Episodi ya ngapi?.uhu ni mchezo tu wa kututoa ktk hoja muhimu kama vile njaa,maisha magumu,kufeli sana four 4.
  7. Tai Mwepesi

    Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Nape huyo sahihi.mnaompinga acheni hizo.hamjui sheria nyinyi.usijeshangaa serikali ikadaiwa fidia kwa kuharibu sifa ya mtu.
  8. Tai Mwepesi

    Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee

    usikamate watoto wa papa mkamate papa watoto watakufa wenyewe.
  9. Tai Mwepesi

    CCM yavuna wanachama wa CHADEMA 380 Tunduma kwenye maadhimisho ya Miaka 40

    ccm bila uongo hakiendi.hivi mnaijua tunduma au mnaisikia.acheni uongo.maisha magumu kama jiwe alafu useme eti wamefurahishwa na utendaji wa jpm.mmmh
  10. Tai Mwepesi

    Kula kula njia nzima uwapo safari ni ulafi, uchafu na ulimbukeni.Unakera abiria wengine

    Ni kweli ni kero kubwa kula ovyo safarini.mtu nyumbani kwake hali hivyo.kujiendekeza tu.usiombe kuwa naye siti moja utakoma kwa mishuzi na mbwehu.
  11. Tai Mwepesi

    Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee

    mtu anapiga chenga mbili ww unasema ushindi tayali.mpira dk 90
  12. Tai Mwepesi

    Simba sports vs Majimaji, Songea leo tarehe 4.2.2017

    simba mpaka sasa vipi kaua au kauwawa.
Back
Top Bottom