Recent content by taginyambi

  1. T

    Watanzania tuache unafiki kuhusu Afrika Kusini, hata sisi ni katili kwa wageni

    wewe sio raia hakuna nchi inakaribisha wageni kiholela wewe
  2. T

    Wakuu nawasilisha kwa habari hii ya wizi uliotutokea jana

    NENDA POLISI THEN TCRA SO LONG NUMBER UNAIFAHAMU HUWEZI KUJIFICHA IKIWA UNATUMIA CM ATAPATIKANA TU HUYO UKIAMUA KUFUATILIA
  3. T

    Wakazi wa Dar hii tabia inazidi kukithiri

    jwatu wengi sana wako lock up kwa staili hio ya kusaidia hivyo wanaogopabadala ya kutoa ushaidi unakuwa mtuhumiwa
  4. T

    Zoezi la Wahamiaji Dar ni double standard!

    haya mbeya lakini kuna walakini KAZALIWA 1963 KAANZA SHULE 1979 KUMALIZA SHULE 1980 ../////?????????
  5. T

    Mbali ya Ulaya na Marekani, kwanini hawa White people, hawapendi watu weusi wawe na wanawake wa jinsia zao?

    NI SAWA NA HII KULIKUWA NA TAJIRI MWEUSI ALIAJIRI WATU WEUPE KWENYE IDARA NYETI YA FEDHA ,WALIKUWA WENGI TU , LAKINI WALINZI WA GETIN WOTE WALIKUWA WEUSI SASA ,MIONGONI MWA WALE WEUPE WOTE WALIKUJA TAJIRIKA NA KUFUNGUA MIRADI YAO HUKU YULE MWEUSI AKIFIRISKA ,LAKINI WEUPE HAWA KAMWE HAWAKUAJIRI...
  6. T

    Daladala kuongezwa katika usafiri wa Mwendokasi ili kupunguza adha ya usafiri huo

    MHESHIMIWA WAZIRI MABASI KUMI HAYATOSHI,HARAFU HAWA JAMAA IKIFIKA SAA NNE WANAPUNGUZA MABASI MENGI SANA HALI INAYOSABABISHA USAFIRI KUENDELEA KUWA NGUMU
  7. T

    Usafiri wa mwendokasi bado ni shida

    mm hata sielewi waliobuni mradi huu walikuwa wanafocus miaka mingapi mbele ! Anyway kwa kusema kweli kabisa hawa watalaam kwa wakati huo wlipokuwa wakibuni mradi huo sijui mwaka gani walikuwa nyuma miaka 30 ndio kinachotugharimu sasa hivi. ukiangalia hata flyover ya mfugale pale tzr itaaleta...
  8. T

    Ujenzi/upanuzi wa njia nane Kimara-Kibaha una walakini

    HIVI UNAWEZA SIFIA MWENDOKASI KWA AKILI YA KAWAIDA KWELI!!! ULE MRADI WATU TUNAPANDA HATUNA NAMNA LAKINI UMEFELI KABISA ,KAA KIMYA
  9. T

    Siku niliyoacha kulala kwenye nyumba za wanawake

    sijui kama yupo mwanamke anayesema ukweli
  10. T

    Kumbe katika maisha kile unachokipenda sana kinaweza kukunyima vingi

    very strong message imenigusa sana mheshimiwa
  11. T

    Mfahamu Sananda na utengenezaji wa picha ya Yesu ili kumwandalia njia mpinga Kristo

    very true personaly ni mkatoliki lakini inanipa shida sana
  12. T

    Hivyo ndivyo wauza mihogo barabarani wanavyojiuza Dar

    acheni utafiti wenu uchwara hivi kuna sehemu ambapo ukifanya bargain kama hizo ukakosa kila sehenu wanawake wanajiuza kuanzia maofisini, sokoni, kwenye daladala ,kila sehemu hata mitaani hakuna jipya hapo
  13. T

    Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    TCRA wafanye nn watu wanawasiliana kwa mambo yao na kwa imani yao je na wachungaji wanaotoa miujiza?
Back
Top Bottom