Kwanini Rais anashindwa kuwachukulia hatua waliojenga stendi ya mwendokasi Jangwani?

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
648
Sijui rais analiona hili au analifumbia macho anatakiwa awashugulikie na hawa kuondoa double standard kama anashindwa tutakua na mashaka na hao waliojenga na uhusiano naye
 
Halafu nakumbuka siku moja Mh Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa na mkutano wa HADHARA pale Jangwani alishangaa kuona Pamezungushiwa UZIO.

Alitoa amri uzio ule uondolewe na eneo lile liendelee na shughuli za kawaida za viwanja vya michezo.

Cha kushangaza HAKUNA hatua yoyote iliyochukuliwa na WASOMI wetu wa hadhi ya juu upande wa UPIMAJI ARDHI, WAHASIBU, VIONGOZI WA WILAYA, MAINJINIA WA UJENZI , WASIMAMIZI WA MAZINGIRA wote kwa pamoja wakaridhia eneo litumike kujenga STAND YA MWENDOKASI.

MH CHALAMILA ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, alitoa rai wale WEZI wa mafuta ya transformer wanapokamatwa wanyweshe mafuta hayo ili YAWAUE.

HONGERA sana kiongozi wangu bora sana kwa tamko hilo, kwakweli ni tamko la KISHUJAA sana linalopaswa KUSAFIRI kila kona ili WABADHIRIFU wote wanyweshe kile WALICHOKIFISADI lengo kuu likiwa sio kufaidi bali WAFE .

Eneo la JANGWANI hujaa maji siku zote zote toka kuumbwa kwa DUNIA hii, iweje leo eneo lile lifanyiwe maendeleo katika mtindo ULE.

HAPANA WANYWESHWE.
 
Back
Top Bottom