Zoezi la Wahamiaji Dar ni double standard!

Zoezi la Wahamiaji Dar ni double standard!

haya mbeya lakini kuna walakini KAZALIWA 1963 KAANZA SHULE 1979 KUMALIZA SHULE 1980 ../////?????????
 
Siju zote hizo ulikuwa wapi kwann hukutoa taarifa mapema?
Hii thread ni ya zamani sana. Imefufuliwa tu baada ya huyo jamaa kuanza kutetewa na wapinzani baada ya kukamatwa. Alishashindika wakati wa Kikwete huyu. Kumbe alikuwa na misukulo yake mingi tu ameipaka mafuta.
 
Mbona hii habari ina umri wa mtoto wa kuanza shule ya msingi?
 
Back
Top Bottom