Recent content by Tafakuru

  1. T

    Niko Mbeya nna gunia 200 za Alizeti 60,000/= Tshs

    Nnagunia za ulezi mwekundu, anaehitaji ni pm Kama upo nje ya mbeya ntakusaidia ujipange kuusu usafiri
  2. T

    Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

    Naomba data za uhakika kwa mwekezaji anapenda kuanzisha kituo cha mafuta cha kisasa kwa ajili ya uuzaji wa petrol, diesel, kerosene na lubricants apa apa nchini TANZANIA. Swali langu linahusisha wazo la designing kituo icho, usalama wa mahali pa uuzaji (safety measures) na haswa upatikanaji wa...
  3. T

    KAZURY Ltd, Tunapiga rangi kwa viwango vya kimataifa

    KAZURY Ltd Kwa wanaohitaji huduma ya kupiga rangi, nyumba mpya, nyumba renovated, frame, chumba ama sehem ya biashara tunakaribisha sana Kama utapenda ubunifu wetu tukuchagulie rangi karibu sana, kama unapicha ya rangi uzipendazo kwenye fikra zako karibu pia Bei ni makubaliano kwani...
  4. T

    Fundi wa kusmamia nyumba adi itakapoisha

    Hello Jamani, kwa wale wenye taaluma ya ujenz Nnahitaji fundi ambae anauwezo wa kuchkua ramani ntakayo mpa na kusmamia ujenzi wa simple house hadi itakapokwisha/ Sifa za muombaji 1. Mzoefu 2. Mwaminifu 3. Proven CV 4. Reasonable cost 5. Mwanaume 6. Awe DSM Naomba tuwasiliane kama upo
  5. T

    Fundi ntakaemkabidhi ramani anijengee nyumba

    Hello Jamani, kwa wale wenye taaluma ya ujenz Nnahitaji fundi ambae anauwezo wa kuchkua ramani ntakayo mpa na kusmamia ujenzi wa simple house hadi itakapokwisha/ Sifa za muombaji 1. Mzoefu 2. Mwaminifu 3. Proven CV 4. Reasonable cost 5. Mwanaume 6. Awe DSM Naomba tuwasiliane kama upo
  6. T

    Nnatafuta nyumba yenye uwezo wa kua ofisi

    Nyumba yenye uwezo wa kua na ofisi inahitajika haraka Hello Nna kampuni ndogo inayofanya shughuli mbali mbali ila sijapata point nzuri ya kueka physical address. Kama yupo yeyote mwenye information ya kunisaidia karibu sana. -Nyumba iwe na ukubwa wa kuwa na ofisi na nyumba ya kuishi -Bei iwe...
  7. T

    Nyumba yenye uwezo wa kua na ofisi inahitajika haraka

    Akiri, Nashkuru kwa spid yako nzuri ya kutoa mrejesho nyuma. Nyumba ni vizuri ikawa na vinyumba viwili ndani yake. Mfano wa nyumba za aina hii, ni nyumba ambayo unakuta mbele kuna nyumba kubwa kidogo na nyuma yake kuna kitu kama ka studio then ile ya nyuma unaeza ukachoose kuishi ya mbele...
  8. T

    Nyumba yenye uwezo wa kua na ofisi inahitajika haraka

    Hello Nna kampuni ndogo inayofanya shughuli mbali mbali ila sijapata point nzuri ya kueka physical address. Kama yupo yeyote mwenye information ya kunisaidia karibu sana. -Nyumba iwe na ukubwa wa kuwa na ofisi na nyumba ya kuishi -Bei iwe nzuri -iwe maeneo ya Sinza, Kinondoni, Mikocheni...
  9. T

    Office space for rent in demand

    Nashkuru sana bwana Uwoya kwa kasi yako nzuri na ushirikiano wako. Kibiashara Tegeta ni mbali hivyo haptanifaa sana, ila tegeta nnatafuta kiwanja kikubwa kama kipo
  10. T

    Office space for rent in demand

    Hello Office ya kupangisha kwa ajili ya shughuli za kampuni inahitajika. Ofisi inatakiwa kuwa na vigezo vifuatavyo -ukubwa usiopungua 10m^2 -iwe maeneo Dar es salaam, ila kwa ufasaha zaidi Sinza, Kinondoni, Msasani, Mikocheni, Survey, Ubungo -bei yake iwe halisi na eneo lenyewe -iwe nzuri...
  11. T

    Wizi wa parcel uliokithiri kwenye mabas ya abood bus services

    Jamani jamani watumishi wa Abood bus services, acheni kuiba vitu vyetu tunavyotuma. Imekua kama tabia sasa, ukituma mzigo kutokea kusini kwenda Dar hautokaa ufike milele. Mnaaribu sana biashara na imani tulionayo kwenu. Malick ubungo 0757106454 acha wizi kama umenogewa acha kazi ukawe mwizi...
  12. T

    Naomba kujuzwa jinsi ya kuzuia mimba baada ya tendo la ndoa

    Ungeanza kwa kujishangaa mwenyewe. Kwaiyo ata ukiambiwa mtu anywe flagil utashangaa kisa ni dawa tumbo??? au ukiambiwa anywe majani ya chai ya kutosha utashangaa kisa ni chai??? its either unaelewa mdogo wa mambo au una umri mdogo sana au sio muungwana
  13. T

    Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!

    Mungu kamuunba binadam kwa mfano wake yy...u can certainly do exactlt what he does
  14. T

    Morning pills

    Wadau, nnaskiaga kuna kitu kinaitwa morning pills kwa wanawake. Naomba kujua matumizi yake na upatikanaji wake. Ni swali kwa wanaojua na elimu kwa wasiojua kama mimi
Back
Top Bottom