KAZURY Ltd, Tunapiga rangi kwa viwango vya kimataifa

Tafakuru

Member
Dec 9, 2011
83
95

KAZURY Ltd


Kwa wanaohitaji huduma ya kupiga rangi, nyumba mpya, nyumba renovated, frame, chumba ama sehem ya biashara tunakaribisha sana

Kama utapenda ubunifu wetu tukuchagulie rangi karibu sana, kama unapicha ya rangi uzipendazo kwenye fikra zako karibu pia

Bei ni makubaliano kwani inategemea ukubwa wa eneo lako, mapambo ya rangi utakayopenda, muda unaotaka zoezi likamilike ila haitojalisha umbali uliopo kwa hapa dar es salaam

Tunapatikana Mbezi Tangi bovu pia unaweza kuwasiliana na si kupita mawasiliano yafuatayo

0716088155
0713499311
unaeza kunipm hapa pia


"We settle for Elegance"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom