Tuambie afanya biashara gani? Mtaji alipata wapi? Je biashara hizo zaendeshwa kwa kufuata sheria? Umesema kumbi za disco zafungwa saa 6 nakwambia hizo zinazofungwa hivyo sio kumbi rasmi. Kumbi rasmi zina leseni ya kukesha na zina viwambo vya kunyonya sauti
Umeona wapi gari liloisha betrii likibustiwa na gari liloisha betrii. Kama huyu binti hakubakwa jambo alotenda ni la kifedhuli, alipenda jibaba kwa tamaa zake kama lilivo jibaba hili. Sasa kama yeye anayo kubwa kuliko umri wake asitafute kiki ya kujitetea na bahari yake. [emoji12] [emoji12]
Wanachama wa vyama vya siasa kwa kawaida ni wachache, kusema ukatae wanaohama hakuna mashiko. Acha watu wahame vyama vijifunze kuheshimu wanachama wake
Kaka pole sana. Lakini kwani lazima utoe yote? Jambo hili si ungelifikisha kwenye baraza la walei kama umelazimishwa? Je umeshatafiti makanisa mengine ina michango gani? Kwa kadri ya ufahamu wangu michango ya RC ni midogo sana na mingi ni ya hiyari. Mfano bahasha ya Zawadi kwa mtoto yesu unaweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.