Fukuto linaloendea Iran, linadhihirisha kuwa US na Israel siyo wa mchezo mchezo. Tanzania nini cha kujifunza?

Can't imagine the world without USA how would it be!

Hii dunia kusingekuwa na chombo cha kudhibiti nchi ndogo ndogo hizi ingekuwa ni ya kishenzi na ukatili wa kutisha.

Kuwepo kwa USA km kiranja mkuu wa dunia kunafanya nchi nyingine ziwe na ustaarabu unaotakiwa.
Huku kujifanya kiranja kunaigalimu US mabilioni ya pesa...na ndo maana sera ya Trump ni usawa katika kuchangia masuala mbalimbali..kuna watu US wanashida za kutosha tu..
Trump alianza n NATO kawachimba mkwara kwamba US haitakua ikitoa pesa wakati wao wapo wapo tu...Marekani inapunguza budget katika umoja wa mataifa....Unesco..wamepunguza tayari...USAID inapunguziwa nayo...
 
Mkuu Hapo Kwenye Wanawake Kuvua Hijab Kuonyesha Ishara ya Kudai Usawa na Wanaune Kunanitatiza, Inamaana Hawezi Kudai Kuwa Na Haki Sawa Na Wanaume Wakiwa Na Hijab Zao? Nachojua Hijab Kwao Ni Utamaduni na Maadili yao Kijamii na Kidini.
 
Mzungu akiamua huwezi chomoa, muulize Mugabe....katoka kiulaini alijifanya nunda kumjibu Trump ungese akasahau kuwa uraisi ni taasisi
 
Sisi wanatuona mafala ila siku isiyo na jina Wala tarehe watashangaa
 
Nidhahiri shahiri kwamba maandamano yanayo endelea huko Iran, ambayo hata kinara wa maandamano hayo hajulika kwa kile wanacho dai ni kutokana na kupanda gharama za bidhaa, ukata wa mfukoni kunako sababishwa zaidi na vikwazo vya hawa ndugu wawili USA na pacha wake ISRAEL,

Nakile kinachodai kuwa serikali ya Tehran kutumia bajeti kubwa zaidi kwenye masuala ya nje na kuwasahau raia wa ndani (japo hii ni geresha tu).hivyo basi kupelekea maandamano makubwa zaidi na ya fujo huku waandamanaji wakibadili gia angani na kutaka kiongozi mkuu wa kidini ayatollah heminei atoke huku akina mama wakivua hijab zao.wakidai usawa dhidi ya sheria ngumu na kali za kiislamu katika taifa hilo lenye nguvu mashariki ya kati.

Je ni kweli mzungu akikuamlia huwezitoboa? Na kama ndivyo je nini kifanyike ili kuwe na usawa katika ulimwengu huu? Toa maoni yako bila povu.
By Bepari la Bariadi
Mwosha huoshwa. Iran wenyewe wanafadhili migogoro kwenye nchi nyingibe mfano Saudia. Wamewekeza zaidi kufadhili vikundi nje kuliko ndani
 
Hakuna tofauti na yule maskini aliepata nafasi ya kuomba chochote lkn mwisho akajikuta akiomba Kichwa cha kuku! Ukiwa mzalendo kweli ni lazima uitakie nchi yako Mema, Rais ndiyo KICHWA CHA NCHI, hivyo ukitaka aguswe maana yake mwili mzima ndio utaathika na hatimae kupoteza mwekekeo, ungejua kinachotokea sirya tangu baadhi ya watu walivyo mkataa Rais bila utaratibu ungejutia mawazo yako!
Mimi nadhani Magufuli yuko sahihi sana ktk mambo mengi , ninampongeza kabisa kwa utendaji uliotukuka...

Uzalendo auanze yeye kwa kuaha kuwaonea watumishi wa umma wasio na tatizonla vyeti feki ,wanaishi kama mashetani yeye ananenepa ma kujaza kihenge kila siku
 
Kweli kabisa inabid watu wasome...tatzo kubwa jamii forum imevamiwa na watu wa facebook.......OSAMA-SUNNI .....AYATOLLAH-SHIA....wap na wap hii?


Tujitahid kusoma guyz.....ufaham wetu katka maswala ya Ulimwengu umepotea kabsa

Alafu kitu kibaya zaidi ambacho west hawasemi na hawa wajinga ni kuwa almost terrorist organization zote duniani ni SUNI na zina fadhiliw ana Saudi Arabia.

Utakapo kuta Shia wanapigana ni kuw awamekandamizwa na wanajitetea mfano Labanon Hizboulha , Shia Iraq na Syria kw asasa ndio vinara wa kupigana na IS.
 
Back
Top Bottom