Recent content by Taeyong

  1. T

    JamiiForums Tanzania Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

    Mji unakua kwa kasi ila miundombinu iko vile vile hilo ni tatizo sijui kwanini hawalioni.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

    Wafanye ivo itakua jambo zuri kiukweli barabara za kuingia jijini zinapaswa kuwa pana zote.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

    Mambo ya aibu haya hivi jiji la Mwanza ni la kukabiliwa na shida ya maji??!!!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

    Hili ni tatizo sema jiji linahitaji miundombinu imara kuweza kukidhi mahitaji ya wakazi wa jiji ila ni aibu tupu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

    Natumaini watapanua mpk kisesa itakua jambo kubwa sana maana barabara ni finyu sana sema kweli.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

    Natumaini mamlaka wataliangalia hili kwa makini kwa maaana jiji la Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa na ukuaji nchini kwetu hivyo linapaswa kuwa na miundombinu bora.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

    Da ANgekuwepo na imani zingekuwa zimepanuliwa, ni aibu barabara kuu za kuingilia jijini mwanza kuwa na njia 1.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

    😀😀 ni mawazo tu mdau.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

    Habari zenu wanaJF, natumaini nyote mnaendelea na pirika za kila siku kwa ajili ya familia na ujenzi wa taifa. Twende kwenye hoja yangu direct! Swali langu ni kwamba "Ni lini serikali itapanua barabara hizi muhimu zinazounganisha Mwanza mjini na maeneo kuanzia Usagara hadi mjini kati na Kisesa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Daah ukifanikiwa nijuzee maana nakutana na changamoto kama yako.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    vipi umefanikiwa au bado inakugomea bado?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nimepata nafasi ya kujitolea miezi minne. Je, nichukue fursa au niachane nayo?

    Nakushauri jitolee utakua umeongeza kitu kwenye CV yako, ila fursa za ajira zikitoka usiache kujaribu bahati yako.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Career gani bora upande wa Information Technology?

    Unaweza coding? If yes komaa nazo sana uwe programmer. Binafsi nina plan kuspeciliaze na. Networking. Nimegraduate last year.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Hongera mkuu.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Ni usaili wa mandishi. Yaani mnapewa km mtihani mnafanya kisha mnakusanya wanasahisha, watakaofanya vzr wanaitwa usaili wa mdomo (oral interview).
Back
Top Bottom