haya sasa hapo ni wanawake kweli sometime wamama wakwe wana bubu sana hata akiona umevaa umependeza oh hela za mwanagu,mnaenda kutembea mnapoteza hela wamama wengine,ila ndo mwanamke inabidi uwe na subira,uvumilivu ujue kua mwisho wa siku ni mama wa mumeo tu hata ufanyaje,je kwa wanaume nao...