20 signs that Relationship is DEAD!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
  1. You're always craving time alone
  2. You don't go out together any more
  3. You prefer seeing your friends to seeing your partner
  4. You've stopped having sex
  5. You've stopped touching each other
  6. You've stopped kissing
  7. He/She no longer make you laugh
  8. He/She don't chat
  9. You're always nagging
  10. he/she's always nagging
  11. You do all the chores
  12. You don't care about your appearance
  13. Anniversaries/Bday days are forgotten/ignored!
  14. You're doing all the giving (or all the getting)
  15. You've stopped liking yourself
  16. Your friends are wasted
  17. You compare Him/Her with other men or women
  18. You Flirt with your exes
  19. You wish they'd change
  20. You say "I love you" but don't mean it

...dah, kuna kauwezekano ka kufufua mapenzi ikishafikia hali tajwa hapo juu?

Kwenye malalamiko ya Topics nyingi humu wengi mnataja haya, ndio kusema mengi 'yanatugusa' kwa namna moja ama nyingine.

Au ndio mnaishia kuishi "for the sake of your children" ???

Kwa mtazamo wangu, bora tu ife kibudu...'huenda' mapenzi yakafufuka 'baada ya siku tatu'. Si mnajua tena kuna zile za 'kutojua thamani ya kitu mpaka ukipoteze'
 
Kweli kwenye mahusuiano vitu kama hivi vipo sasa hapo nyie wawili ni kusuka au kunyoa maana kingine kuanza upya mahusiano kwingine ni issue,inabidi mmoja wenu ajifanye mjinga mukae muongee tatizo lipo wapi nadhani inakua vizuri zaidi mmoja akijitolea kuliko kila mmoja kushindwa kujishusha.
 
Mahusiano yana highs and lows tena wakati mwingine lows kwa maana halisi ya neno.I la mwisho wa siku kuna kuibuka na kuchanua tena kwa ajabu usikotarajia.

Always look forward to the brighter side of it. Usikate tamaa.
 
upendo hau-hesabu mabaya...mie siamini katika hayo uliyoyataja kuwa ni dalili ya mapenzi kuisha/kufa sema mapenzi kama "kiumbe chochote" huzaliwa, hukua, hufa na kwa wakristo tunaoamini katika ufufuko...pia mapenzi nayo hufufuka.... adui mkubwa wa mapenzi ni kuhesabu maovu/mabaya yoyote yanayofanywa na mwenzi-wako.
 
upendo hau-hesabu mabaya...mie siamini katika hayo uliyoyataja kuwa ni dalili ya mapenzi kuisha/kufa sema mapenzi kama "kiumbe chochote" huzaliwa, hukua, hufa na kwa wakristo tunaoamini katika ufufuko...pia mapenzi nayo hufufuka.... adui mkubwa wa mapenzi ni kuhesabu maovu/mabaya yoyote yanayofanywa na mwenzi-wako.

i cant b'live its you...
Who cares kumbe una soft side eeh??
am impressed!:A S 8:
 
i cant b'live its you...
Who cares kumbe una soft side eeh??
am impressed!:A S 8:


Do the nidiful basi...:becky:

Mi mbona lakini naona zimekaa kizungu zungu zaidi...hivi babu/bibi zetu walikuwa wako aware na hizi kweli?

na ukikuta labda kiboksi kimoka kimetiki ndo uanza kupata presha?:confused2:
 
i cant b'live its you...
Who cares kumbe una soft side eeh??
am impressed!:A S 8:

ahahaha...bi roselyne...siku 1-1 naonyesha chembechembe za kujali..anyway...huwa napenda kuwa against millions si unajuwa mambo ya beki kumpiga chenga forwrd mpaka ulimi umtoke
 
Do the nidiful basi...:becky:

Mi mbona lakini naona zimekaa kizungu zungu zaidi...hivi babu/bibi zetu walikuwa wako aware na hizi kweli?

na ukikuta labda kiboksi kimoka kimetiki ndo uanza kupata presha?:confused2:

mie mbahili na thanks zangu:becky::glasses-nerdy:

anyway,nimeshampa kamoja kake ...:becky:

he really deserve it!:A S 8:

afu kaizer nakuogopa....

umekaa kuteta teta hivi,

:glasses-nerdy:
 
upendo hau-hesabu mabaya...mie siamini katika hayo uliyoyataja kuwa ni dalili ya mapenzi kuisha/kufa sema mapenzi kama "kiumbe chochote" huzaliwa, hukua, hufa na kwa wakristo tunaoamini katika ufufuko...pia mapenzi nayo hufufuka.... adui mkubwa wa mapenzi ni kuhesabu maovu/mabaya yoyote yanayofanywa na mwenzi-wako.

i cant b'live its you...
Who cares kumbe una soft side eeh??
am impressed!:A S 8:

..."Upendo hauhesabu mabaya"

...tafsiri yake inafanana na 'Mapenzi sawa na upofu' aka Love is Blind.
Sasa roselyne1 unasahau kubinya jicho moja kwa posts za who cares ndio maana unamuona mgumu nini?
Kwenye ndoa nyingi zenye misuko suko, wengi hufanya makosa kama hayo.

Jifanye kipofu na kiziwi siku ziende.
 
Hakuna point ishirini ziko mbli tu!!

1. Less and less sex in realtionship!!!!

AND

2. More and much More LOVE in realionship!!
 
welcome back mosquito...

Nionavyo mimi, upendo una highs and lows, kama alivyosema WoS... lakini lows za true love ni tofauti na lows za lost love

low ya true love huwa tunaiweka mdomoni au kwenye gestures tu, you pretend you dont care na kuondoka nyumbani kama ulivyo au hata husalimii, na wakati waweza pitisha muda bila hata kugusana jokes wala nini.. but deep in your heart, its burning you are hurting and suffering. That is the low, and it tells in your eyes

Sasa, penzi kwisha... ni kasheshe, unaweza kusikia kabisa mkeo au mpenzi wako yuko ina precarious place, na wala usishtuke, usipige simu wala kuuliza, anaweza rudi home amelewa (hii ni kwa wanaume zaidi kupokea mpenzi amelewa maana wanaume tunalewaga tu!)... ananukia someone else' perfume au hata nguo imebadilika, you just move to another room na kuendelea na maisha yako na worse enough unapiga simu kwa mwingine kuomba akupe bed time stories. kibaya zaidi, hata mkirudiana unakuta there is someone who ahs already taken your spot and you share the limited love available... na bahati mbaya sana sisi wanaume ni selfish, waweza kuta umashapuyanga everywhere, lakini ukisikia mamaa hata kaonekana tu na mtu, then you fail even to have tendo la ndoa because of our nature

trust me love is may not be permanent, it has its highs and lows but sometimes love end!!!

we have live examples and we see how two separated/divorced people blossom after suffering years, but aaaahhh, this is very rare because of our nature

Mbu na wenzangu...uki-score 15 out of 20 hapo n bila hata kuumia, anza kutafuta daktari

I remember one day i wrote "the rose" - i got lots of questions, nikakwepa kujibu --- if you read those words, wanasema love is a rose and you are only the seed.... manake chochote tunachopata kwenye maisha ya mapenzi, ni sisi tuliopanda, hata wale wanaohisi wameonewa, deep down wanajua chanzo cha lile tatizo

it was a seed in winter season... so barafu ilipoisha, ile seed ili-germinate... it goes both ways though

NImelimisi hili jukwaa
 
Do the nidiful basi...:becky:

Mi mbona lakini naona zimekaa kizungu zungu zaidi...hivi babu/bibi zetu walikuwa wako aware na hizi kweli?

na ukikuta labda kiboksi kimoka kimetiki ndo uanza kupata presha?:confused2:

...aaah kaka, aaha ha haa...
Maandiko tu ya kidhungu, lakini matendo mbona hata kwetu Chole Semvula -Mkamba mpaka kule Mkuranga yamo haya?


[*]You're always craving time alone

- Mume hashindi nyumbani, na kirudi usiku wa manane amelewa!

[*]You don't go out together any more

- Zamani mlikuwa mkitembelea ndugu, jamaa na marafiki. Siku hizi hata msibani hutaki kuongozana na mkeo!

[*]You prefer seeing your friends to seeing your partner

- Rejea awali, ndio yale ya ukitoka kazini Bar! ...ukiulizwa kwanini hushindi nyumbani unakuwa mkali " nachoka na kelele zako vuvuzela we!"

[*]You've stopped having sex

- Vijisababu vya kila siku mara mgongo unaumka, mara kichwa, mara nimechoka, mara na udhu usinitengulie...

[*]You've stopped touching each other

- Rejea awali, ukiguswa mkali,..."unanishikia shikia nini wewe!?" usiniguse nataka kulala mie

[*]You've stopped kissing

- Tendo la ndoa linageuka routine. Hakuna kutomasana tena. Ni kujipakulia na kula tu, husaidii kukosha.

[*]He/She no longer make you laugh

- Hata useme nini, mwenzako kaukunja uso utadhani kala limau.

[*]He/She don't chat

- Kununa bila sababu, ukimuuliza amenuna nini anakwambia hamna lolote niache tu.

[*]You're always nagging

- Malalamiko na maneo ya kila siku, "zamani hukuwa hivi, zamani hukuwa vile, nakuona tu siku hizi, Umeanza!"

[*]he/she's always nagging

-Rejea awali hapo juu

[*]You do all the chores

- unajikuta mzigo wa mjukumu yote kwako. Unaambiwa 'wewe si ndio baba!' Kwa mwanamke, anaambiwa 'Nimekuoa upike, ufue, unihudumie!'

[*]You don't care about your appearance

- Hujali hata kama kulala kwako bila kukoga itakuwa kero kwa mwenzio, Ulevi wa kupiondukia, kunenepeana hovyo

[*]Anniversaries/Bday days are forgotten/ignored!

- Hukumbuki siku aliyozaliwa mwenza wako, na hata ukiikumbuka huipi umuhimu wake.

[*]You're doing all the giving (or all the getting)

- mara kwa mara wewe ndio ubembeleze, uombe, au ubembelezwe, uombwe... na ujeuri juu!

[*]You've stopped liking yourself

-Rejea kujipenda

[*]Your friends are wasted

- Hujali tena marafiki, unapoteza marafiki.

[*]You compare Him/Her with other men or women

- Ndio zile za mbona wanawake wenzio/ wanaume wenzio hawafanyi hivi na vile? Mama fulani/Baba fulani anakushinda!

[*]You Flirt with your exes

- hulali! Busy upo kwenye Facebook 'reminiscing' school days , au una fantasize na Avatar za warembo wa JF

[*]You wish they'd change

- ndio zile za kusema, " yaani mke wangu/mume wangu angekuwa na busara/huruma/upendo angalau...!"

[*]You say "I love you" but don't mean it

- Hii inahitaji mjadala kweli? kuweni wakweli tu hapa... ha ha
 
Hakuna point ishirini ziko mbli tu!!

1. Less and less sex in realtionship!!!!

AND

2. More and much More LOVE in realionship!!

Mkuu sex isiyo na fleva ni sawa na kula ndizi na maganda

thereis more to love than sex... but they all go together
 
Mkuu sex isiyo na fleva ni sawa na kula ndizi na maganda

thereis more to love than sex... but they all go together

...mwambie huyo.
BTW, vipi sasa kuhusu ule mradi wa matarumbeta kuhamasisha walionuniana?
Mwanzoni nilidhani ni kwa ajhili ya foleni za asubuhi tu, kumbe hata jioni bana...

Posh & Becks pia hununiana...
david_beckham_leaves_wife_victoria_crying_after_car_crash_in_france_main_4075.jpg
 
nina zaidi ya sababu 20 ila naona tunasukuma siku..hapigi simu wala sms,agrrr!!..tatizo kupenda,lol
 
acid nimeguswa na point zako uko juu,mimi si mshabiki wa jamii hua naingia kwa ajili post za mahusiano tu.am so impressed na comments zako.
nanukuu 'upendo una highs and lows,'hebu nisaidie nirudisheje mapenzi kwa mwenzangu?na kama trust imeondoka inakuaje hapo?nataka kuendelea kua na na ninampenda ajabu.:confused2:
 
Back
Top Bottom