kunyanyaswa kimapenzi

Tabu

Member
Mar 26, 2009
25
0
Jamani wana JF nauliza swali ili nipate kujua maana watanzania may be hatujui maana ya kunyanyaswa kimapenzi.naomba munielimishe mtu kunyanyaswa kimapenzi maana yake nini?kwa pande zote mbili mwanaume au mwanamke??
 
mshkaji wako akikuomba tig. (ndogo) ukamnyima ni unyanyasaji wa kimapenzi, mfano tu ... nk.
 
yapo mengi tu ambayo mtu anaweza kunyanyaswa kimapenzi, nikianza kuongea hayataisha.
Mojawapo ni mtu asiyejali kuridhika kwa mwenzake hili haswa asababishae ni wanaume, baadhi ya wanaume wakishafika orgasm hawajali wenza wao kama wamefika au lah! Akisharidhika yy ndio basi tena.
Vilevile kuna baadhi ya wanawake ambao wameolewa au wapo kwenye mahusiano hawataki kufanya tendo la ndoa hadi pale wanapojisikia. Utakuta iwapo mumewe anahitaji penzi yy anasema mie nimechoka au sipo tayari kama hizi sababu zitatokea mara nyingi itakuwa ni mojawapo ya unyanyasaji wa penzi.
nitakuletea sababu nyingine.
 
mh basi asante Pretty je ukimpenda mtu halafu anakutukana anakupa kashfa,anakutafutia sababu kila siku ziszo za msingi kama kukusingizia una mahusiano na mwanamke mwingine wakati si kweli au mwanaume?kukutukana?kukuvunjia heshima mbele za watu kama kukutukana mbele za watu?hiyo nayo ipo vipi?ni kurekebisha tabia au unyanyasaji?
 
wewe Outlier kama huna point bora unyamaze kuliko kuongea pumba!
 
Pretty ila kama mtu hataki kufanya mapenzi na sababu anazo lakini upande wa pili haukatai na sababu hizo akalazimisha ni unyanyasaji wa kumapenzi huo -- ingawa wewe umeongelea upande mmoja tu

pia kuna kutukanwa na tabia zingine ambazo ziko katika ndoa au mahusiano ya kimapenzi mfano unapokosana na mpenzi wako ukapiga simu yake yeye akampa mwanaume mwenzako aongee na wewe huo ni unyanyasaji wa kimapenzi
 
mh basi asante Pretty je ukimpenda mtu halafu anakutukana anakupa kashfa,anakutafutia sababu kila siku ziszo za msingi kama kukusingizia una mahusiano na mwanamke mwingine wakati si kweli au mwanaume?kukutukana?kukuvunjia heshima mbele za watu kama kukutukana mbele za watu?hiyo nayo ipo vipi?ni kurekebisha tabia au unyanyasaji?
Hili nalo unyanyasaji kimapenzi, sio kurekebisha tabia. Ingekuwa ni kurekebisha tabia asingekutukana mbele ya watu na wala muwapo peke yenu. nijuavyo mm kama unataka kumrekebisha mpenzi wako tabia ni kukaa chini na kumweleza wapi amekosea na sio kutukana. Vile vile hadi wapenzi mnafikia hatua hii ya kutukanana mbele za watu sasa huko ni kutokuwa na heshima kwa mwenzio.
 
Kunyanyaswa ni kila wakati kila ulifanyalo linakuwa silo au sivyo,hujui na ni jeuri unazozipokea kuonekana huna unalolifahamu hata ukifahamishwa huelewi ,pengine ukaitwa gogo.zaidi patashika hii hutokea unapokaribia kupigwa buti.
 
wewe Outlier kama huna point bora unyamaze kuliko kuongea pumba!
hiyo ndio point yangu, wewe ulipouliza swali ulitaka upate point na mawazo unayoyataka tu! we vipi? kama 'umenyanyaswa' usijekumalizia hasira zako kwangu, eboo
 
hiyo ndio point yangu, wewe ulipouliza swali ulitaka upate point na mawazo unayoyataka tu! we vipi? kama 'umenyanyaswa' usijekumalizia hasira zako kwangu, eboo

...:D:D:D basi basi taratibu mazee, usianze nawe 'kumnyanyasa' Tabu.
 
wewe Outlier kama huna point bora unyamaze kuliko kuongea pumba!

naomba kujua jinsia yako ni he/she majina haya bana iwa yananipa tabu sana kutambua...mi ndipo nitaweza kukujibu unyanyasaji wa TG.
 
TAbu karibu, hayo uliloyasema kama manyanyaso ni kweli huo ni unyanyasaji.

Mzee wa T. Fidel ukiomba T. kwa mwenzako si unyanyasaji unyanyasaji ni pale umeomba afu mwenzako hataki then we ukawaunalazimishia au ukafikia hata hatua ya kumnyima 'unyumba' kwa sababu tu hakupi T.
 
wewe outlier naona una matatizo ya akili ee umeongea pumba ndo maana si kuwa nimenyanyaswa bora kunyamza kuliko ujibu pumba mbona wengine wamenyamaza kama hawana point?mambo ya tigo ndio nini!!!hebu achja utoto,ndo unyanyasaji wenyewe huo.
 
sikupingi, hayo ni mawazo yako - mi najiona mzima tena nina akili na points nyingi.
na ambao hawajachangia hapa umewaona mbumbumbu ndio maana wamekaa kimya- pia mawazo yako sikupingi.
hongera, umeshinda 2-0.
 
yapo mengi tu ambayo mtu anaweza kunyanyaswa kimapenzi, nikianza kuongea hayataisha.
.

Hata mimi sintomaliza kuandika nini hasa kunyanyaswa kimapenzi

ila kwa kifupi ni
- kutosikilizwa
- kufuatiliwa kupita kiasi
- kutokuwa na uhuru wa kuuliza
- kutoaminiwa
- kulazimishwa kutoa game (kurukiana)
n.k, n.k
 
TAbu karibu, hayo uliloyasema kama manyanyaso ni kweli huo ni unyanyasaji.

Mzee wa T. Fidel ukiomba T. kwa mwenzako si unyanyasaji unyanyasaji ni pale umeomba afu mwenzako hataki then we ukawaunalazimishia au ukafikia hata hatua ya kumnyima 'unyumba' kwa sababu tu hakupi T.

Umesema?....:eek:
 
Back
Top Bottom