Mimi ni taahira, ndio nilivyozaliwa. Nikionekana nina uwezo wa akili, huwa natabasamu na kufarijika sana moyoni. Hiyo ni picha yangu ya kweli, nilipigwa nikiwa na furaha pale wenye akili waliponisifia nimeongea point.
Hivi kwanini yangu ndogo lakini naambiwa naleta burudani? au ndio utaahira wangu huu kumbe nachekwa? Halafu wewe madame, usimchuze mwenzako na hiyo 6 by 6. Ndude ndogo zinahitaji mkandamizwaji alale kwenye surface ngumu ili asibonyee kwenye godoro anapo bonyezwa.
Hivi kwanini Nape hamshughulikii huyu? Maana mzee wake ndiye aliyeua CCM Kigoma miaka ya tisini, akiwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, na kuwainua kina Kaburu wa NCCR ambao nguvu yao ndio imezaa zitto na kafulila. Alifanya ufisadi kwa kumweka muindi kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, na kanjubai...
Hivi kwanini huyu kijana anakuwa kama vile ana utaahira kama mimi? Nini hasa kinampelekea kuwa na tabia hii? Ushamba? Ush...? Au ni debe tupu analojaribu kulijaza maji? Mbona mwenzake Nape hana tabia hizi? Yani mtu kama Nape akitokea kwenye TV au Radio, hata kama ataongea pumba, wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.