January makamba ndani ya ala za roho ya clouds | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January makamba ndani ya ala za roho ya clouds

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by iron finger, Feb 22, 2012.

 1. iron finger

  iron finger JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anahojiwa na mwanadada lovness love au Diva.MH yupo juu hata kwenye malavidavi.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  huyu makamba atakuwa na dalili za usho..,5ga
   
 3. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa anapenda sana cheap publicity kama Suleiman Kova.
   
 4. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kova kiboko kama yuko kama kova basi balaa kwa msaka uwaziri wa nishati na madini huyu
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Bado yupo? Nimesikiliza akichagua wimbo nikatoka nikaenda kusikiliza Redio Imani. Nasikiliza hadith za ujirani mwema.
   
 6. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hawa vijana wa Maropes wana matatizo fulani, wanapenda attention ya media kuliko kawaida. Hawawezi kwenda sehemu yoyote kama hakuna media. January analipwa fadhila za ufisadi aloifanyia clouds kupitia mgongo wa Ikulu, Sugu Umemalizana na RUGE, Bado zamu ya january kwa maana mchongo mzima wa Malaria No more ulianza na February Maropes
   
 7. Taahira

  Taahira Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kwanini huyu kijana anakuwa kama vile ana utaahira kama mimi? Nini hasa kinampelekea kuwa na tabia hii? Ushamba? Ush...? Au ni debe tupu analojaribu kulijaza maji? Mbona mwenzake Nape hana tabia hizi? Yani mtu kama Nape akitokea kwenye TV au Radio, hata kama ataongea pumba, wengi wanakimbilia kumsikiliza. Sijui anaiva vipi na Nape, maana inaonyesha anapenda sana ukubwa. Ni bora akasema tu wazi kwamba yeye ni taahira kama mimi kwani mambo yake ni kama yangu, si ya binadamu wa kawaida. Ameshajitia doa, kwa sababu, kama ilivyo mimi, huyu hana akili timamu hivyo hastahili kuwa kiongozi kwa mujibu wa katiba.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Bado yupo au kashamaliza? Huyu Jamaa kila sehemu anakaba hadi kwenye mapenzi? Malaria no more yupo,madini yupo,barrick na ushemu yupo,khaaa
   
 9. Taahira

  Taahira Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kwanini Nape hamshughulikii huyu? Maana mzee wake ndiye aliyeua CCM Kigoma miaka ya tisini, akiwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, na kuwainua kina Kaburu wa NCCR ambao nguvu yao ndio imezaa zitto na kafulila. Alifanya ufisadi kwa kumweka muindi kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, na kanjubai Azim Premji ndiye Mwenyekiti CCM hadi leo. Fadhila ikawa kumsomesha kijana wake huyu huku nje baada ya kufutiwa matokeo ya form four Galanos kutokana na kuiba mitihani. Mimi ni Taahira lakini mara nyingine huwa na bahatisha kuja japo na vijineno vyenye ukweli na ushahidi na ukweli huu utamfanya taahira mwenzangu humu kunipiga ban usiku huu huu.
   
 10. data

  data JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,798
  Likes Received: 6,578
  Trophy Points: 280

  Kova ni noomaa.. Kuna tukio moja la ujambazi lilitoke sai mbeya.. Kova nilimsikia akisema alikwepa risasi... nilichoka.
   
 11. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nilimsikiliza nikaona,pamoja na kupata exposure(States) for Master's ,bado communication skills ni a challenging factor kwake,though alisema hajazoea kuulizwa maswali ambayo hana majibu yake tayari..
  Na Diva akamwambia ana bahati kwa kuwa kaoa, vinginevyo maswali mazito zaidi angepata..

  Akaambiwa achague muziki,akalazimishwa uwe ni R&B... Akasema anaijua mingi ila hajui achague upi kwa muda huo... Akachagua "I'm so into you" wa Tamia. Akauliza anaudedicate kwa nani,akasema kana kwamba anajikanyaga..."kwangu mi mwenyewe.."

  Anyway.. Labda ndiyo shida ya u-public figure..
   
 12. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nilimsikiliza nikaona,pamoja na kupata exposure(States) for Master's ,bado communication skills ni a challenging factor kwake,though alisema hajazoea kuulizwa maswali ambayo hana majibu yake tayari..
  Na Diva akamwambia ana bahati kwa kuwa kaoa, vinginevyo maswali mazito zaidi angepata..

  Akaambiwa achague muziki,akalazimishwa uwe ni R&B... Akasema anaijua mingi ila hajui achague upi kwa muda huo... Akachagua "I'm so into you" wa Tamia. Akauliza anaudedicate kwa nani,akasema kana kwamba anajikanyaga..."kwangu mi mwenyewe.."

  Anyway.. Labda ndiyo shida ya u-public figure......
   
 13. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nilimsikiliza nikaona,pamoja na kupata exposure(States) for Master's ,bado communication skills ni a challenging factor kwake,though alisema hajazoea kuulizwa maswali ambayo hana majibu yake tayari..
  Na Diva akamwambia ana bahati kwa kuwa kaoa, vinginevyo maswali mazito zaidi angepata..

  Akaambiwa achague muziki,akalazimishwa uwe ni R&B... Akasema anaijua mingi ila hajui achague upi kwa muda huo... Akachagua "I'm so into you" wa Tamia. Akauliza anaudedicate kwa nani,akasema kana kwamba anajikanyaga..."kwangu mi mwenyewe.."

  Anyway.. Labda ndiyo shida ya u-public figure........
   
 14. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nilimsikiliza nikaona,pamoja na kupata exposure(States) for Master's ,bado communication skills ni a challenging factor kwake,though alisema hajazoea kuulizwa maswali ambayo hana majibu yake tayari..
  Na Diva akamwambia ana bahati kwa kuwa kaoa, vinginevyo maswali mazito zaidi angepata..

  Akaambiwa achague muziki,akalazimishwa uwe ni R&B... Akasema anaijua mingi ila hajui achague upi kwa muda huo... Akachagua "I'm so into you" wa Tamia. Akauliza anaudedicate kwa nani,akasema kana kwamba anajikanyaga..."kwangu mi mwenyewe.."

  Anyway.. Labda ndiyo shida ya u-public figure.........
   
 15. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  umeamua kujikweza kwa kujilinganisha na watu ukijijua uwezo wako wa akili?????
   
 16. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nilimsikiliza nikaona,pamoja na kupata exposure(States) for Master's ,bado communication skills ni a challenging factor kwake,though alisema hajazoea kuulizwa maswali ambayo hana majibu yake tayari..
  Na Diva akamwambia ana bahati kwa kuwa kaoa, vinginevyo maswali mazito zaidi angepata..

  Akaambiwa achague muziki,akalazimishwa uwe ni R&B... Akasema anaijua mingi ila hajui achague upi kwa muda huo... Akachagua "I'm so into you" wa Tamia. Akauliza anaudedicate kwa nani,akasema kana kwamba anajikanyaga..."kwangu mi mwenyewe.."

  Anyway.. Labda ndiyo shida ya u-public figure.........
   
 17. Taahira

  Taahira Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni taahira, ndio nilivyozaliwa. Nikionekana nina uwezo wa akili, huwa natabasamu na kufarijika sana moyoni. Hiyo ni picha yangu ya kweli, nilipigwa nikiwa na furaha pale wenye akili waliponisifia nimeongea point.
   
Loading...