Political Assassins: Why TZ Politicians Must live in a State of Perpertual Paranoia

These people will continue to strike until the slumbering people of my land will wake up and say 'enough is enough, we know what ur doing". They will strike the younger generation more and more!
 
You say it brother.....nchi ya ajabu sana hii....kilichokosekana kwa binadamu wa nchi hii ni UZALENDO (patriotism).

Hivi kwanini wengi ya wanaotumia neno uzalendo ndio hao hao wanaoshabikia wagombea wa kutupeleka ahera uchaguzi wa 2015?
 
nafasi

inategemea unataka kuhesabu kuanzia lini...

well u just see a pattern.. it is hard to prove it unless you investigate it.. I believe issue ya Mwakyembe (two or three attempts) should have been a starting point kwani waliotaka kufanya hilo kitu they have become sloppy!
Mwanakijiji,'
I recently talked to a government official, a minister at that, who acknowledged what has been done to Mwakyembe.
He informed me that Mwakyembe's secretary, who may have known what befell the minister, was transferred without Mwakyembe's knowledge and a new secretary took her place. Guess what, the transferred secretary soon was dead. Think about that!
 
Before I close let me give you one example of how neighborhoods work effectivelly in South Africa.

Recently there were news of suspected assassins who were arrested in Soweto.They were suspected to be political assassins hired to eliminate ANCYL leaders in Polokwane province.

This was after reports from people in the area that these assassins were sprawling near the house of Limpopo ANC Youth League Secretary Jacob Lebogo, by parking lot of the department of roads and transport in Polokwane.

One of the assassins was reported to have entered into Lebogo's house seeking direction to the home of a person believed to be Mr Lebogo by asking the security guard and also people, then exchanging phone numbers with a security guard at Lebogo's house.

When they were arrested they were found in possession of stolen police bullet-proofs, unlicensed firearms and some ammunition.

So, the case continues and the two men are out on bail and they are due in court on 23 March.

What I want to say here is that there was awareness from public and people were quick to react of any suspicious behaviour in the neighborhood.
 
]sio kwa ajili ya siasa ni kwa ajili ya tumbo,maslahi na power na sifa[/COLOR],Mzee amesema vizuri mwenye masikio na asikie,na sio siasa hata kwenye maisha ya kawaida ya wafanyabiashara na wengneo ambao wanania kufika mahali pa juu,

Hii issue ni kweli kama unavyosema hapo kwenye RED, hawa jamaa ni watumwa wa kundi au kikundi fulani cha wageni chenye kuitaji rasilimali za watanzania kwa njia yoyote ile,na rasilimali hizo ni madini,misitu,wanyama na hata ardhi.Wanachofanyama ni kuakikisha kuwa viongozi wa KITAIFA ni wale maamuma wao wao,yani watu wanaoamini nguvu za jamaa hao kama vile uwezo wa kifedha na nguvu za kumuua yeyote pind akikataa ofa yao.Wananchofanya ni kupandikiza watu wao kwenye ULINZI WA KITAIFA.

Waliopandikizwa ulishwa uongo na kujazwa ***** kuwa mlengwa anaekusudiwa ANAHATARISHA USALAMA WA TAIFA.Na kwa kuwa wapandikizwaji uwa hawana uwezo wa akili wa kupambanua mambo na kwa kuwa ni machine basi ufyatuliwa kwa jinsi mfyatuaji anavyoitaji risasi ngapi zitoke kwenye machinegun hiyo.

Mitaani kwetu huku tunao wafadhili waliojengwa na kuimalishwa kifedha na kupewa ghilba ya vitisho kuwa kwa lolote lile wahakikishe kuwa viongozi wa kitaifa wanakuwa ni chaguo lao vinginevyo yeyote anayesimamia kitu kinachoitwa uzalendo [Patriotism] basi astahiki kuwepo kusimika kitu hicho kifanye kazi kwa kuwa nyie ni minority na ndio mnamiliki uchumi [Wahindi na Waarabu] basi mkiwaacha kuna kichwa kinaweza kuwaludisha kwenye azimio la Arusha,je mko tayari kuludi huko ambako hamtakuwa na nguvu za kiuchumi kwa kuwa majority ambao ni weusi wataitajika kushiriki kwenye kumilki uchumi wao.Kwa style hiyo unaweza kuona ni kiongozi gani ataweza kupenyeza pua yake,ndio maana wazalendo watanzania waliofanikkiwa both ways kiuchumi na kukubalika kijamii nao pia wako matatani kupotezwa kwa kuwa wanajua kuwa mtu kama huyo ni lahisi sana yeye kupata support ya umma pindi akiamua.

Watesaji wetu wanachofanya ni kuwa maagent wa wageni na kuingia kati kuiua Tanzania ya wengi ambao ni weusi kuacha Tanzania ya weusi wachache na kundi la weupe yani waarabu na wahindi [baadhi ya Watawala wachache na maswahiba wao] kuitafuna Nchi kiasi kuwa majority ambao ni weusi wabakie manamba kama mababu zao miaka 1940.Na hakika mimi binafsi ukiniuliza japo JK anamapungufu yake ya kiutendaji lakini kwangu mimi amekuwa Rais wa kwanza kujalibu kuvunja mfumo huo ulioanza kujengwa toka enzi ya Mzee Mwinyi na kuimalishwa na Mzee wa BWM.

Hakika leo hii watanzania wanajadilina na kuweka malumbano sensitive hadharani wananchi wanashirikishwa kungamua nini kinaendelea ndani ya mfumo hayo ni mafanikio zaidi ya mafanikio ya uchumi.Kwa kuwa ni heri nilale na njaa kwa kunywa chai kavu uku nikiwa mkweli na haki kwenye Taifa langu,kuliko kulala nikila keki na biliani kwenye Taifa usilokuwa na haki nalo.

Jamaa hawa walishajiimalisha sekta nyingi sana na wanamarafiki na washirika wao wa kibiashara katika kuifyonza Tanzanina huku wakiwa wanamilki maeneo mbalimbali duniani kama Canada, India,Dubai,Oman,Uk, USA na South Africa.Walichofanya waliwalubuni baadho ya Watawala wetu kuwa duniani inayokuja ili uweze kuwa na Power ya umma ni vyema ukawa na ukwasi wa kifedha [Well Financial] na hivyo chochote kile can be done anywere to anyone at anytime and at any cost.

Hivyo kwa baadhi ya watawala kwa kukosa maono [vision] wakadandia umagharibi wakasahau kuwa hii ni Africa ambayo tukisema familia tunamaanisha baba,mama,bibi na babu wa pande zote, shangazi, wajomba , binamu, wakwe, wakwilima na hata marafiki kama kambarage.Yaliyojili kwenye ubinafsishaji yakazaa yanayomsumbua JK leo,Wananchi wanataka kuludi na kuishi Tanzania ya Mwalimu Nyerere, viongozi watawala waliodanganya kukubali umagharibi wote mzima mzima kupitia mafoxy hawataki kukubali na yeyote atakae ungana na wananchi kutaka kukubaliana na move ya wananchi basi lazima aende kiminani ili pia vitumike vitisho kuwaonyesha watanzania kuwa Nchi si yao bali Nchi ni mali ya watu wasio wajua, na mbaya wanaibambikizia taasisi yetu ya kitaifa ya TISS ili mission zao zionekanae kuwa zinabaraka za watu ambao kikatiba wamepewa leseni ya kuua.Hakika sijapata kuona Taifa lolote duniani Mtu ambae anaonekana kuwa mtetezi wa Taifa anauawa ama kujeruhiwa na chaombao cha Nchi yake ambacho kilipaswa kumlinda kwa gharama yoyote ile.Mara zote vyombo hivyo vya ulinzi wa kitaifa vimekuwa hatari kwa watu wenye makusudio mabaya na Taifa.Hivyo uchafu huu ambao ndani yake unabeba baadhi ya watu ambao wanatajwa kuwa ni walinzi wa amani ni ishara kuwa eneo hilo mambo sio shwari hata kidogo na kunamapandikizi ya ajabu ambayo ndio hatimae leo tunamatatizo haya kama ya DK Mwakyembe.

Ila Mungu kajalia ukiniuliza mimi binafsi naona vita ndio inakaribia kufika ukingoni hivyo na ndio maana kama ulikuwa mfuatiliaji wa jahazi la Tanzania kisiasa utajua nini kiinaendelea.Enzi hizo jenerali na marehemu chachage wakiongea mstakabali wa Taifa ilionekana ni kuhatarisha usalama wa Taifa.
 
Well, we got to put this one on record - there are assassins in our midst. These are people trained in the science and art of getting closer to their target and eliminate it in such a way that no evidence is left behind. But how do they do it? How do they accomplish their goal without being detected? Well:

a. They are trained to be like chameleons - they will look infiltrate the environment of their target and become exactly like it (will probably be the closest member of the target's inner circle)
b. They don't act on impulse but only on orders
c. They can remain dormant until activated
d. They can plan their assassinations months if not years ahead
e. Only sloppy assassins leave traces; otherwise, when they go for the kill they do it with such precision that the Medical Examiner (coroner) will not find any reason to suspect murder (heart attack, stroke, accident, etc).

If you are a politician you must always be on guard. Be glad that you know your enemies (they won't hurt you personally); but be careful with your friends! From time in memorial assassins have always worked closely with the target's friends, inner circle and sometimes even family members - for a price of course. So, as the saying goes - keep your friends close but your enemy closer!

The problem is that WE DON'T KNOW WHO THEY ARE AND WE CAN'T STOP THEM. These people (whoever they may be) work in ABSOLUTE IMPUNITY.

Think about it.
Nafanya tuu rejea, kuwahusu
Shambulio la Mhe.TL: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na ...
P.
 
These people will continue to strike until the slumbering people of my land will wake up and say 'enough is enough, we know what ur doing". They will strike the younger generation more and more!
Kauli huumba!, nasubiria hao wa kuamka na kusema "enough is enough"!.
P
 
Well, we got to put this one on record - there are assassins in our midst. These are people trained in the science and art of getting closer to their target and eliminate it in such a way that no evidence is left behind. But how do they do it? How do they accomplish their goal without being detected? Well:

a. They are trained to be like chameleons - they will look infiltrate the environment of their target and become exactly like it (will probably be the closest member of the target's inner circle)
b. They don't act on impulse but only on orders
c. They can remain dormant until activated
d. They can plan their assassinations months if not years ahead
e. Only sloppy assassins leave traces; otherwise, when they go for the kill they do it with such precision that the Medical Examiner (coroner) will not find any reason to suspect murder (heart attack, stroke, accident, etc).

If you are a politician you must always be on guard. Be glad that you know your enemies (they won't hurt you personally); but be careful with your friends! From time in memorial assassins have always worked closely with the target's friends, inner circle and sometimes even family members - for a price of course. So, as the saying goes - keep your friends close but your enemy closer!

The problem is that WE DON'T KNOW WHO THEY ARE AND WE CAN'T STOP THEM. These people (whoever they may be) work in ABSOLUTE IMPUNITY.

Think about it.
Are you sure these are political assassins? Do you remember the simple folk in Kibiti and Kilwa Kivinje - Katu kata, katibu tarafa, mwenyekiti wa kitongoji, mkuu wa shina, mtendaji, mjumbe wa nyumba 10 - would you call them "politicians"? If yes, then I tell that they are all CCM. In that case the first thing is to ask the Leader of the Oppisition: why CHADEMA functionaries are not touched?
 
Well, we got to put this one on record - there are assassins in our midst. These are people trained in the science and art of getting closer to their target and eliminate it in such a way that no evidence is left behind. But how do they do it? How do they accomplish their goal without being detected? Well:

a. They are trained to be like chameleons - they will look infiltrate the environment of their target and become exactly like it (will probably be the closest member of the target's inner circle)
b. They don't act on impulse but only on orders
c. They can remain dormant until activated
d. They can plan their assassinations months if not years ahead
e. Only sloppy assassins leave traces; otherwise, when they go for the kill they do it with such precision that the Medical Examiner (coroner) will not find any reason to suspect murder (heart attack, stroke, accident, etc).

If you are a politician you must always be on guard. Be glad that you know your enemies (they won't hurt you personally); but be careful with your friends! From time in memorial assassins have always worked closely with the target's friends, inner circle and sometimes even family members - for a price of course. So, as the saying goes - keep your friends close but your enemy closer!

The problem is that WE DON'T KNOW WHO THEY ARE AND WE CAN'T STOP THEM. These people (whoever they may be) work in ABSOLUTE IMPUNITY.

Think about it.
Angalau watu mkumbukage; kilichofanywa kwa Lissu hakiwezi kuwa ni trained assassins; one the sloppiest attempt ever! yaani hawa hawa wanugu wanaopigana risasi hawamiss target kwa risasi 38! Yaani, wale wa Kibiti Mkurugana wanaonekana walikuwa professionals!
 
ndio mara zote hutaka watu waamini kuwa "it is not the interests of the state to kill its own citizens". Well.. hata Assad alisema "it'll be crazy for the government to kill its own people".. wakati anasema hivyo askari wake walikuwa wanaua wananchi nje! Hakuna serikali au watawala wanaoweza kukubali kuua wapinzani wao. Hata Rwanda haikubali kuwa kuna political killings!

Leo anakana maandiko!
JF tamu sana!
 
Angalau watu mkumbukage; kilichofanywa kwa Lissu hakiwezi kuwa ni trained assassins; one the sloppiest attempt ever! yaani hawa hawa wanugu wanaopigana risasi hawamiss target kwa risasi 38! Yaani, wale wa Kibiti Mkurugana wanaonekana walikuwa professionals!

Ndio mana tunasema hii ni KAZI YA ZERO BRAIN AND his team kw akudhani wanamfurahisha baab yao. Je kwanini babyao anaka kimya na akemei? maan hili sio la kwanza.
1. yu wapi beni?
2. Clouds
3. Romma

hayo yote yaliacha trace na na kila mtu anajua.
hata lissu alipowakamata wale wa premio aliitangazia dunia, na number akaitaja, jiulize kwanini hiyo number leo ipo black listed huko TRA?

Ji ulize kwanini hawataki kutoa records za simu za saa nane na familia ilishalipa 150,000/= ya kufanya hivyo?

Jiulize kwanini hawataki kuchunguza CCTV za bunge mana zipo na zinaonekana. je hazionyeshi hayo maagri yanayo mfuatilia lissu?

Jiulize kwanini lissu anapigwa kota tena ya viongozi na geti lilifungulia na kufungwa bila kuulizwa pamoja na milio ya risasi ?
 
Maswali yako ni mazuri lakini yameundwa yakiwa presumptive na hivyo huulizi maswali yote sahihi..
 
Angalau watu mkumbukage; kilichofanywa kwa Lissu hakiwezi kuwa ni trained assassins; one the sloppiest attempt ever! yaani hawa hawa wanugu wanaopigana risasi hawamiss target kwa risasi 38! Yaani, wale wa Kibiti Mkurugana wanaonekana walikuwa professionals!
Mimi nadhani haijalishi kama walikuwa assassins au la, cha msingi watu wana hisia za nani kahusika na ambazo mpaka sasa sijaona hoja ya kupinga hizo hisia. Kusema kuwa jamaa hawakupanga kumuua ni sawa na kusema kupigwa risasi 8 mwilini na kutokufa ni jambo la kawaida.

Binafsi naamini lengo la maadui wa Lissu lilikuwa kuua na kutuma ujumbe kwa wote wanaotaka kuwa 'wanaharakati'. Hii ndiyo tafsiri ya risasi 38. Ndivyo Mafia (e.g. Al Capone na Valentine's Day Massacre) hufanya kwa maadui zao, ndivyo drug dealers wa Mexico na kwingine hufanya-hawapigi risasi moja. Ni kama Dr. Ulimboka aliachwa hai, lakini hoi ili kuwatisha madaktari. Alichofanyiwa Dr. Ulimboka kingeweza kumuua pia, kama si jitihada za madaktari na wasamaria wema.

Mwisho, kuua kupo kwa aina nyingi. Wapo wanaoua mwili (moyo) na wanaoua roho. Is Dr. Ulimboka really alive? Itakuwa ni maajabu pia TL akirudi na kuendelea na harakati zake maana tanuri alilopita halina tofauti la na Ulimboka. Moyo utakuwa hai, lakin roho hoi.
 
Angalau watu mkumbukage; kilichofanywa kwa Lissu hakiwezi kuwa ni trained assassins; one the sloppiest attempt ever! yaani hawa hawa wanugu wanaopigana risasi hawamiss target kwa risasi 38! Yaani, wale wa Kibiti Mkurugana wanaonekana walikuwa professionals!
Kwa hiyo kwa sababu sio trained assasins ndio wamempiga Lisu risasi basi sio Ishu?

Hukufikiria pia walifanya hivyo makusudi ili watu wasiwahusishe wao na kutaka kumuua Lisu?

Kwa wao kumpiga risasi zaidi ya 30 huoni kwamba walitoka kifua wazi kabisa wakiamini wamemaliza kazi ni wapi duniani umesikia mtu kamaliziwa magazine nzima ya SMG na nyongeza ya Beretta akawa hai?

Hapo kwenye wao nadhani umenielewa ni kina nani kwa sababu sio kila mtu anaweza kuwa a trained killer ila wanajulikana japo kwa 90% wapo kwenye vyombo vipi
 
ndio mara zote hutaka watu waamini kuwa "it is not the interests of the state to kill its own citizens". Well.. hata Assad alisema "it'll be crazy for the government to kill its own people".. wakati anasema hivyo askari wake walikuwa wanaua wananchi nje! Hakuna serikali au watawala wanaoweza kukubali kuua wapinzani wao. Hata Rwanda haikubali kuwa kuna political killings!
Mzee Mwanakijiji vipi hii reply yako comment imelaa vizuri sana, does it relate anyway????
 
Kwa hiyo kwa sababu sio trained assasins ndio wamempiga Lisu risasi basi sio Ishu?

Hukufikiria pia walifanya hivyo makusudi ili watu wasiwahusishe wao na kutaka kumuua Lisu?

Kwa wao kumpiga risasi zaidi ya 30 huoni kwamba walitoka kifua wazi kabisa wakiamini wamemaliza kazi ni wapi duniani umesikia mtu kamaliziwa magazine nzima ya SMG na nyongeza ya Beretta akawa hai?

Hapo kwenye wao nadhani umenielewa ni kina nani kwa sababu sio kila mtu anaweza kuwa a trained killer ila wanajulikana japo kwa 90% wapo kwenye vyombo vipi

Ni kweli kabisa; sidhani kama watu wamefikiria vizuri. Kuna nchi moja katika maeneo yetu ambayo inatumia sana njia hii ya kunyamazisha watu...
 
Tusiangalie hili kwa maana ya conspiracy tu bali tuangalie na kujifunza toka nchi ambazo political assassinations hutojea kama Urusi, Rwanda nk. Tusifikiri hata kidogo kuwa watawaka wetu ni tofauti sana ba watawala wengine duniani.
Hahahah! Daah! Ulikuwa na mawazo ya tofauti na sasa?
 
Back
Top Bottom