Recent content by taa nyekundu

  1. taa nyekundu

    Profesa Lipumba: Namsubiri Maalim Seif aje ofisini nimpangie majukumu yake

    Wewe utakua ni mungiki wa lipumba ndo maana maswali yana kuudhi, anaehojiwa ni profesa uchwara so maswali lazima yawe ya maudhi, big up 360 clouds tv
  2. taa nyekundu

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Sebulen kwa baba mwenye nyumba saa 6 usiku niliingia nikapiga mtoto wa baba mwenye nyumba, nilikua mwanachuo nilipanga katika hiyo nyumba, mtoto aliogopa kutoka kuja room kwangu ikabidi nimshawishi mim ndo niingie kwao.
  3. taa nyekundu

    Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Aisee Mimi ni ni timu Magufuri lakin hata mim wamenikwaza hapo TBC hawapo fair kbs
  4. taa nyekundu

    Kwanini Mtangazaji Jaquline Silemu wa ITV anaficha Pete?

    Ni kwel kabisa yaan unaacha kusikiliza habari unaangalia Pete Dah
  5. taa nyekundu

    Zitto Kabwe: Msiwaamini wanasiasa, chama tawala wala wapinzani

    Usikate tamaa mwamini Dr Magufuri
  6. taa nyekundu

    Natabiri: CCM kupata ushindi mkubwa dhidi ya UKAWA sababu...

    CCM mbele kwa mbele, mwaka huu wataisoma, Maarifa ya kushinda tunayo,
  7. taa nyekundu

    Kwa kauli ya Kikwete ya leo, Kuna kila dalili ya kuipeleka nchi vitani

    JK ameongea Kama mwenyekiti wa chama sio Kama RAIS so pale ulitaka azungumze vp?
  8. taa nyekundu

    Dr. Slaa atakuwa adui namba 4 kati ya maadui wa 3 wa Mwl Nyerere

    Mtake radhi huyu Mzee, hata babu yako anaweza akawa hajamfikia huyu Mzee, Unapaswa kutambua hii ni democracy, kila mtu Ana decision zake, mtamlazimishaje kukaa meza 1 na fisadi ambay amenanga kwa miaka 10? Then usiropoke ivo wakat huna uhakika wa kinachoendlea Ndan ya CHADEMA na huwez jua...
  9. taa nyekundu

    Dr. Slaa: Natishwa

    Ila tujiulize Kama kweli ni uzushi kwanini CHADEMA wasiitishe press conference akiwepo na dr ili wakanushe
  10. taa nyekundu

    Lowassa aendelea kuwaburuza UKAWA. Amkataa Juma Duni Haji (Mgombea Mwenza), amtaka Ismail Jussa

    CCM Tunajaribu kuonyesha Democrasia Kuwa chama hakimilikiwi na mtu au kundi lolote Ndio maana tumetoa uhuru wa kila mtu Kuonyesha nia tofauti na vyama vingine. Pia kuonyesha kila mtu anauhuru katka chama CUF- Mtiania ni yuleyule miaka yote TLP- nani? CDM- wale wale TAFAKARI EWE UNAYEJIITA...
  11. taa nyekundu

    Usahihi dhidi ya propaganda ya gazeti Raia Tanzania na vibaraka wake juu ya Dr.slaa.

    CCM Tunajaribu kuonyesha Democrasia Kuwa chama hakimilikiwi na mtu au kundi lolote Ndio maana tumetoa uhuru wa kila mtu Kuonyesha nia tofauti na vyama vingine. Pia kuonyesha kila mtu anauhuru katka chama CUF- Mtiania ni yuleyule miaka yote TLP- nani? CDM- wale wale TAFAKARI EWE UNAYEJIITA...
  12. taa nyekundu

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    CCM Tunajaribu kuonyesha Democrasia Kuwa chama hakimilikiwi na mtu au kundi lolote Ndio maana tumetoa uhuru wa kila mtu Kuonyesha nia tofauti na vyama vingine. Pia kuonyesha kila mtu anauhuru katka chama CUF- Mtiania ni yuleyule miaka yote TLP- nani? CDM- wale wale TAFAKARI EWE UNAYEJIITA...
  13. taa nyekundu

    Bado Simuamini kabisa Lowassa. UKAWA Naombeni Mnishawishi nimpe kura yangu

    Lowasa ameondoka CCM sababu kuu ni kukatwa Jina, so hajakubaliana na matokeo Yale Kwa maana hiyo amemaanisha kwamba wale wote 42 ni taka taka yeye pekee ndo Msaf na alifaa kuchukua ile nafasi. Binafsi naona ni uloho wa madaraka, Pia Lowasa anapaswa ajiweke katika position alikua nayo dr...
  14. taa nyekundu

    Ukweli kuhusu Dkt. Slaa kuondoka CHADEMA

    Lowasa ameondoka CCM sababu kuu ni kukatwa Jina, najiuluza kwanin asingekubali matokeo? Kwa maana hiyo umemanisha kwamba wale wote 42 ni taka taka wew pekee ndo Msaf na ulifaa kuchukua ile nafasi. Binafsi naona ni tamaa ya madaraka, Pia Lowasa unapaswa ujiaweke katika position alikua nayo...
Back
Top Bottom