Recent content by T2020JPM

  1. T2020JPM

    JamiiForums Tanzania TANAPA yapata tuzo ya ubora wa huduma

    Tundu Lissu anasemaje kuhusu hili?
  2. T2020JPM

    JamiiForums Tanzania Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Wapi nimesema kuwa Sugu hamiliki 3 stars hotel.....?? acha kuweweseka.
  3. T2020JPM

    JamiiForums Tanzania Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Uchaguzi umeisha, CCM imeshinda kwa kishindo, Lissu karudi kwa mabwana zake, Mbowe, Sugu, Mdee, Zitto, Lema na wengine wengi watatafuta shughuli zingine za kufanya na sisi tuache malumbano yasiyonatija tuchape kazi.
  4. T2020JPM

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

    Mkae kwa kutulia kabisa
  5. T2020JPM

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

    Tanzania hakuna wapinzani wa ukweli hawa ni wapigania matumbo yao waweze kwenda chooni.
  6. T2020JPM

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

    Kwisha habari yake... kifo cha mende ndembendembe
  7. T2020JPM

    JamiiForums Tanzania Mwenye kiburi akiinuliwa juu anainuliwa ili aanguke vibaya

    Mnaweweseka bure imekwisha iyo kesho anakula kiapo tunaendelea kuchapa kazi.
  8. T2020JPM

    JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

    Pia tujue sheria inasema nini juu ya maandamano yasiyo na kibali? Lissu lazima tumfunge miaka kadhaa jera akitoka atakua amenyoka subiri kesi zake zianze kusikilizwa tena na atajuta kurudi tz.
  9. T2020JPM

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee sana Lissu

    Hilo bazazi wameliachia la nini lilitakiwa linyee debe walau kwa siku tatu hivi.
  10. T2020JPM

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Lazima kuwe na tofauti kati yetu ndugu mfuasi. Wewe unaweweseka.
Back
Top Bottom