Recent content by T Ikingura

  1. T Ikingura

    Paul Makonda amehamisha show room zote za Magari, Kuanzia January 2018

    Yaan serikali Kama haikupendi haikupendi tu hata uifanyie mazur kiasi gani ukweli ni kwamba anafanya hayo mambo yote kwa kua anapendwa na mtu mmoja tu nje ya hapo hawez simama yy kama yy akafanya kitu akakubalika
  2. T Ikingura

    North Korea yarusha tena kombora kupitia anga ya Japan

    Sasa watakacho kuja kufanyiwa na USA hawatasahau itakua zaidi ya iroshima
  3. T Ikingura

    Jinsi Makonda alivyozishinda vita ambavyo hakuna aliyewahi kushinda

    Njia pekee ya kumsaidia uyo mtu ni kukaa kimya
  4. T Ikingura

    Kurugenzi ya habari ya CHADEMA bado mko karne ya 19

    Ukipitia baadhi ya comments za watu ndo utajua watanzania tuko na ujinga na roho mbaya kiasi gani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T Ikingura

    Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

    Umewai fatilia Mali alizonazo kiba au uliwai ona wapi kiba anatangaza vitu anazomiliki hazarani?? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T Ikingura

    Dunia kwa sasa ina marais 5 tu Magufuli akiwa mmoja wapo

    Hapo ni sawa kumchukua mesi ronaldo neymer Suarez na Juma saidi nyoso ukawaweka kundi moja na kuanza kulinganisha uwezo wao uyo mmoja umemuonea sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T Ikingura

    Mwanzilishi ya kampeni ya "Magufuli Baki" atishiwa maisha,akimbilia TCRA

    Yaan ss watz kwa kujitetea hatujambo ndo maana nchi zingine ukikamatwa mtz unaiba ni kipogo maana wakikupa chance ya kujitetea wanaeza kukuachia wakati ulikua unaiba kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  8. T Ikingura

    Hoja Fupi: Ilikuwa ni Makosa kwa Vyombo vya Habari Kumsusia RC Dar

    Mwanakijiji ungemalizie tu kwa kusema Wa kolomije Sent using Jamii Forums mobile app
  9. T Ikingura

    Dunia yazidi kumpongeza na kumuunga mkono Rais Magufuli

    Ndugu uongo Wa ivo umepitwa na wakati asee kawadanganye vijana Wa rumumba Sent using Jamii Forums mobile app
  10. T Ikingura

    Nini kimetokea kati ya Lowassa na Sumaye

    Vijana Wa rumumba buana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T Ikingura

    Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

    Dada yako kizaa bibi Shangaz yake Mjomba wako Sent using Jamii Forums mobile app
  12. T Ikingura

    Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

    Ndo siraha pekee walioibakiza watu Wa rumumba ni kutumia vyombo vya dola tu wameshindwa kushindana kwa hoja Sent using Jamii Forums mobile app
  13. T Ikingura

    Wafanyakazi wadai Mishahara, waifikisha kampuni ya Sahara Media inayomiliki Star TV Mahakamani

    Kuna kanuni moja ya physics Inasema hivi,,,for every action there is an equal and opposite reaction,,,, Sent using Jamii Forums mobile app
  14. T Ikingura

    Dodoma: Tundu Lissu agoma kutoka nje ya Mahakama akihofia Polisi, wamshauri atoke hakamatwi..

    Malizia pia kwa kusema tunataka kuona Uhuru Wa vyombo vya habari tunataka kuona wapinzani hawakamatwi ovyo tunataka kuona hakuna ubaguzi Wa wapinzani na Wa rumumba tunataka kuona haki ikitendeka kwa wote tunataka kuona kila mtu anakua huru kusifia na kukosoa serikali sio ukikosoa unaitwa...
Back
Top Bottom