Recent content by T 2021 SSH

  1. T 2021 SSH

    Sijui kwa nini bado CHAPUTA inaendelea kupata wanachama wapya?

    Chama kinaripoti mkuu, tena kuna thread zao humu
  2. T 2021 SSH

    Sijui kwa nini bado CHAPUTA inaendelea kupata wanachama wapya?

    Wakuu siku hizi nyapu zimekuwa rahisi sana, sio pisi kali za kitaa ama zile zinazofanya biashara Waliopo kwenye mji mikubwa ukiwa na buku jero unapata nyapu faster, kiufupi sisi tulioanza kula nyapu zamani kidogo, tunaona kabisa siku hizi nyapu zimezagaa, miaka ile kumfukuzia demu inaweza...
  3. T 2021 SSH

    Mfanyakazi wangu akikaa dukani anauza zaidi yangu

    Aisee nayachukia sana haya maneo Mfanyakazi wangu, Kibarua wangu, Kijana wangu wa kazi nk
  4. T 2021 SSH

    Car4Sale Nauza Gari aina Honda Stream mpya kwa 9M

    Ahsante sana mkuu kwa biashara, subri mkeka wangu wa mil 13 utiki? [emoji41][emoji41]
  5. T 2021 SSH

    Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

    Sikatishi tamaa ila hiyo ya kuweka store mpunga nimeifanya mwaka jana mkuu, nipo Geita na nilijilimia mwenyewe mpunga kipindi cha mavuno haukuwa na bei sana ilikuwa arround 45k mpaka 50k Likaniijia wazo la kuuhifadhi eti nisubiri bei mkuu mpaka ukafika msimu wa kilimo tena bei ipo 50k -55k...
  6. T 2021 SSH

    Wapi nitapata nguo nzuri za mitumba kwa Mwanza

    Natafuta chimbo zuri la kupata mzigo mzuri wa nguo za mtumba grade one kwa Mwanza ni wapi naweza pata, nataka nifanye biashara ya nguo na mtaji wangu ni kidogo siwezi kununua belo lakini pia naogopa kupata lonya ipo 250k Naomba msaada kwa wajuzi?
  7. T 2021 SSH

    Rais Samia achana na kuikumbatia CCM, fanya kazi zenye Maslahi mapana kwa Watanzania

    Mimi bado nalia na TCRA na vifurushi, mama soon nitakuona dhaifu
  8. T 2021 SSH

    Athari mbaya za Bongo Movies kuwa na Vilaza wengi ndani ya jamii

    Hata kina Mkojani, Tin White na wengineo!
  9. T 2021 SSH

    Mara yako ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

    Nakumbuka mara ya kwanza kutongoza nilikula tunda kimasihara siku hiyo hiyo, tulikuwa tunacheza kombolela usiku ile wakati wa kujificha nikamfuata mdada mmoja (nilimpenda sana) tukawa tunabisha Mimi: "ukinipa papuchi nakupasua" Yeye: "huwezi kwanza wewe bado mtoto mdogo"...
  10. T 2021 SSH

    Naomba namba ya Waziri wa Ujenzi. Tunajenga jengo la TANESCO Geita chini ya TBA, hatujalipwa

    Mkuu mambo ya picha achana nayo, hapa tunataka msaada kwa haya yanayotukuta Mbona watu wa siku hizi mmezidi kejeli, kama wewe una maisha usituzarau sisi ambao tunalialia Kama unaweza kutusaidia tusaidie tu mkuu
  11. T 2021 SSH

    Naomba namba ya Waziri wa Ujenzi. Tunajenga jengo la TANESCO Geita chini ya TBA, hatujalipwa

    Kumbe tutakufa njaa jaman, maana hata mama mpishi pale site kagoma kupika nae anadai pesa alipwe, hapa tunaunga unga kupata chakula.
Back
Top Bottom