Bado unayo hiyo gari ya Honda stream?vipi changamoto zake,?unaeza share nami tafadhali,napenda kuifahamu zaidiNiko na hili gari tangu mwaka 2014, ni hatari kwa afya yako. Gearbox imebidi mjapan mwenyewe ailete. Karibu sana kwenye stream
Hahahahahah halafu gari za Honda ndio zinasemekana ni reliable pamoja na Toyota ila mbona zinazokuja bongo ni bomu sana???😂😂😂Pole kaka hizo gari Honda stream ,dahtsu yrv,bora ni ndoa ya kikristu no talaka mpaka mmoja wenu afe vumilia tu kaka utakufa ww au gari ita anza kufa na matatizo ya spare yatakuwa yamekwisha la c hivyo nauli za Japan go &return duh