Recent content by Syope

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo HESLB mbona kimya?

    Mm wakasema hawajapewa mungozo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maafisa Utumishi wagoma kuruhusu Mabenki kutoa mikopo ya watumishi. Yawezekana ni hujuma?

    Heslb wanadai hawajapata muongozo wa kutoa statements inaonekana retention fee ilikua ni upigaji wamechukia balaa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dar: Msanii Nay wa Mitego amepata ajali ya bodaboda

    Job ndugai alikua sahihi kuhusiana na boda boda
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Tukatae uzushi kuwa Mtu akipata chanjo ya corona atakufa

    Hata ARV'S ni hiari lakini watu wanajipeleka wenyewe wakitingwa na sasa ni normal tu, wanakunywa hata hadharani ,chanjo ya corona ni hiari siku ukitingwa utajipeleka mwenyewe
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kasi ya utendaji ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa inatufuta machozi wazalendo

    Mama mitano tena
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na hoja ya Spika: Serikali iajiri walimu wengi wa kiume kuliko wanawake

    Mbozi kuna chenga sana mama Samia imulike mbozi uhamisho wa walimu mwingi ni feki kwa mfano barua ya uhamisho anaandika mkurugenzi anakuja MTU kwenye idara ana sitisha uhamisho kwa niaba ya mkurugenzi bila kujua halafu anatengeza pesa,
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za matukio ya wizi mitaani

    Katika kiongozi ambaye hana unafiki sana ni siro
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kajala Masanja simuelewagi

    Mtoto atakua( mufleva)
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

    Diamond aachane na wanasiasa kubadilisha nyimbo zake kuimbia ccm ni kuto kua serious ni kweli ana ukwasi wa kutosha
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini waandishi na wachambuzi wa michezo wanamuogopa Haji Manara?

    Sidhani kama anapiga mswaki huyo jamaa.
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gospel singer Guardian Angel proposes to girlfriend

    Ng'ombe azeeki maini
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti jamani urembo wa mwanamke unachangia kunogesha tendo?

    Umenikumbusha mbali sana kuna demu alivua wigi kidogo nimkimbie geto
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tutaona mwisho wenu ninyi timu kusifia sifia ya Rais Samia

    Hizi sio zama za kinjekitile ngwale acha upuuzi mwache mama afanye kazi
Back
Top Bottom