Kwanini waandishi na wachambuzi wa michezo wanamuogopa Haji Manara?

Kitenge yupo so biased, anaonyesha chuki yake dhidi ya Simba wazi wazi, watu wa aina ile inabidi uwe mbabe ili uondane nao.
Mbona ulaya waandishi wa habari wanawea waz timu wanazoshangalia na hamna Cha ajabu, kitenge ana Uhuru wa kushabikia timu hawezi pangiwa na kikundi Cha watu flani na Hana chuki na Simba
 
ushoga Na uchawa vinawaziba midomo watoto wa mjini kumsema Haji Manara. Bugatti anafanya personal attack kitu ambacho kinapendwa sana Na watu wa social media kwa Sasa. Mfano Kitenge alipigwa p/attack ya safari zake za nje ya nchi aiseeee 😂😂😂😂😂mchicha mwibber
Duuuh ebu tupe maelezo kidogo ina maana Maulid Kitenge ni mchicha mwiba na vp kuhusu kusafiri mara kwa mara nje ya nchi.
 
Kwasababu Manara aneshawajua udhaifu wao.

Manara aneshakuwa mzoefu sana na anajua wapi pa kupiga na watu pa kuogopa na connection aliyonayo.

Mfano 1: Wakati wa sakata la Simba na Yanga hakuna mwenye akili timamu asiyejua waliovuruga ni Serikali kwa kushirikiana na TFF.

Ila Manara akawa anawashambulia Yanga na Wachambuzi kwasababu ndio watu anaowamudu.

Mfano 2: Wakati wa sakata lake na Kitenge, Manara yeye akawa anamchongea Maulid Kitenge kwa boss wake ( Diamond ) kwasababu ana ukaribu na Diamond. Kitenge akakaji tu kutiatia huruma na mwishowe kumalizana naye.

Inshort hali ya uchumi sasa hivi imekuwa ngumu wachambuzi wengi wanaepusha migogoro na kulinda vibarua vyao kwa nguvu zote ndio maana uhuru wao binafsi haupo.
Diamond hawezi kumfukuza mtangazaji bora wa michezo Tanzania kwaajili ya manara. Wise up! Wachambuzi wengi wamemjua manara ni mjinga,Hivyo huwezi kushindana na mjinga. Manara ana matatizo ya kisaikolojia... mwenye akili anaweza kuona hilo wazi
 
ushoga Na uchawa vinawaziba midomo watoto wa mjini kumsema Haji Manara. Bugatti anafanya personal attack kitu ambacho kinapendwa sana Na watu wa social media kwa Sasa. Mfano Kitenge alipigwa p/attack ya safari zake za nje ya nchi aiseeee 😂😂😂😂😂mchicha mwibber
Unawezaje kusema Kitenge ni mchicha mwiba wakati alikuwa anamiliki wake wawili na watoto. wabongo bana wasipojua dili zako kwa undani wanaishia kukuchafua tu.
 
Kama Kitenge anaogopa ajira ya Wasafi hapo basi hana akili..yeye ni brand kubwa kwenye michezo,sio mfagiaji hapo wasafi hadi amuogope diamond kiasi hicho..yeye anamuingizia pesa na kumfukuza ni hasara tu.
Issue siyo ukubwa wa brand. Ukiachwa unaenda wapi ?

Watu wenye brand kubwa ni kama kina Millard.

Kitenge bado anategemea ajira kuishi, kusikika na kupata michongo.
 
Manara ni wa kumuacha tu,waliokosea ni hao tangu mwanzo kumuachia ile nafasi.
 
Habari.

Hivi karibuni waandishi na wachambuzi wa soka wamekuwa wakimuogopa sana Haji Manara jambo ambalo nilikuwa naliona kwa mbali sana lakini kwa sasa limekuwa kubwa sana kiasi kwamba wachambuzi hawawezi tena kusema kwa uwazi madhaifu ya simba bila kupamba pamba na kupongeza kwanza kuogopa kukabiliwa vikali au kugombana na Haji Manara.

Nilishangazwa zaidi alipo waita taka taka waliogopa kukemea lakini bali ni wachache ndio walikuwa wana uwezo huo wachambuzi kama kina Shafii,Maulid Kitenge,Jemedari Saidi na Oscar Oscar ndio huwa hawamuogopi kumsema.

Yani nimeshangazwa sana zaidi wiki hii baada ya simba kutolewa hakuna anayethubutu kusema simba katolewa bali kila mmoja anatafuta kaurembo kake ... oohh kafa kiume,wamepambana, wamepigana, wengine wanasema hawajatolewa kifala ... hii yote ni kumuogopa Manara? maana ana uwezo wa kuzuia wasitangaze maudhui ya simba? Kwanini wachambuzi wanaogopa kusema simba amefungwa na kutolewa kwa uzembe wake?

Kwanini wanamuogopa sana Haji Manara?

Manara ukimuweka kwenye kona utaambiwa na jamii wewe mbaguzi hata jamhuri inaweza kukucheki...
 
Ukijibishana au ukigombana na mwehu na wewe utaonekana mwehu bwashee
 
Jamaa manara anajua kila kitu anachosema. We unaembishia hujui kitu, kwanza mshamba wewe.
 
Kwasababu Manara aneshawajua udhaifu wao.

Manara aneshakuwa mzoefu sana na anajua wapi pa kupiga na watu pa kuogopa na connection aliyonayo.

Mfano 1: Wakati wa sakata la Simba na Yanga hakuna mwenye akili timamu asiyejua waliovuruga ni Serikali kwa kushirikiana na TFF.

Ila Manara akawa anawashambulia Yanga na Wachambuzi kwasababu ndio watu anaowamudu.

Mfano 2: Wakati wa sakata lake na Kitenge, Manara yeye akawa anamchongea Maulid Kitenge kwa boss wake ( Diamond ) kwasababu ana ukaribu na Diamond. Kitenge akakaji tu kutiatia huruma na mwishowe kumalizana naye.

Inshort hali ya uchumi sasa hivi imekuwa ngumu wachambuzi wengi wanaepusha migogoro na kulinda vibarua vyao kwa nguvu zote ndio maana uhuru wao binafsi haupo.
Kwa hiyo jamaa ni kijogoo??.
 
jamaa una chuki za wazi wazi dhidi ya manara na simba yake huna lolote wewe ni pisi kali tu.
 
Ulishawahi kujiuliza kwa nini Machawa wengi asili yao ni kigoma mf.Manara,Baba levo,Mwijaku,Issa Azam,H.Baba,Japo wengi wanadhani h.baba ni msukuma kwa vile anaishi mwanza mabatini.
 
Manara watu hawamwogopi ila wanacho hofia heshima yao na brand zao walizo zijenga kwenye jamii zinaweza kuharibika.

Manara anatabia kumshambulia mtu kwa vitu personal na si vya kimpira,sasa mtu kama Kitenge au Shaffih kwa heshima na brand wakizo kuwa nazo wanaogopa kumshambulia kwa vitu personal,anaweza akamshambulia kwa bahati mbaya au kwa hasira akaugusa ulemavu wake ,tayari ushajiharibia hadhi yako kwa jamii,manake tayari watu watamwita mnyanyasaji wa walemavu.

Kumbuka mtu kama Kitenge au Shaffih wana deal Star times,DSTV,Sportpesa (kampuni nyingine za kamari),Asas nk na bila kusahau Shaffih pale Clouds Fm ni mmoja wa mameneja ndio maana wana mpuuzia sababu wanajua ana njaa anatetea ugali wake kwa njia yoyote.
True
 
Back
Top Bottom