Recent content by Symbiotic

  1. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi ndoa haina thamani tena hata mama mchungaji?

    Usitake kunambia ni mke wa yule bwana mtangazaji[emoji1787][emoji1787]
  2. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Iz ni moja ya sababu kwanin Mataifa ya Africa yana rasilimali nyingi lkn hayaendelei. sababu ni iz wenye nacho ndo wanazidi kujirimbikizia mahari na asiye nacho anabaki alivyo ama anazidi kushuka chini zaidi kiuchumi. Fikiria hao pesa watakazokuwa wanalipwa ni nyingi sana. Kiasi kwamba sehemu...
  3. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu kwa mapenzi yake bila sisi kumuomba akatuumba ili atutese? Kwani tulimuomba au kumlazimisha atuumbe?

    Mungu ni Alfa na Omega anajua Mwanzo na Mwisho so wakati anamuumba mwanadamu alijua yote hayo ya kuwa mwanadamu wakat anaumbwa lazima tu atakuja kuanguka Dhambini. Kwangu ili ni swali ambalo halina majibu sahihi toka kwa wanadamu zaid ni nadharia tu za majibu ya kukariri na majibu ya fikra za...
  4. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu: Miaka hiyo tuliimba tu kama kujifurahisha wala hatukujua maana yake

    Nilipofika mjini nadhani nilikosea! Nikaingia kundini watu nisiowajua! Wakanikalisha chini elimu kunipatia! Sina wakumulaumu nadhani nilikosea. Dah! Haya Mashahiri Nadhani Kipindi Iko Tulikuwa Tunayachukulia Kama Nyimbo Tu Za Kuburudika Ile Leo Yanaishi Na Tunayakumbuka. Sijajua Watoto Wa Siku...
  5. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

    C iwe tu hiv bac ili kieleweke Mamelod Etoile du sahel Simba Yanga
  6. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Uko vipi na mama mkwe wako?

    Maandiko Yamesema Waheshimu Na Uwapende Wazazi Wako. Hayo Mambo Mawili Ni Muhimu sana Kwa Mtoto Ktk Maisha Yako Yawe Ya Ndoa Na Mwenza Wako Ama Peke Yako. Wazazi Wa Mweza Wako Ni Wazazi Wako Hivyo Kiwango Cha Kuwapenda Na Kuwaheshimu Kisipungue. Na Kwa Kufanya Ivo Naamin Hata Wao Watakupenda Na...
  7. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Sabato Tanzania lijitathimini

    Nani alikwambia kusali jumamoc tu kutatosha wao kwenda mbinguni? hujui hata uko kuna wanaosali jumamoc jina tu lkn hawaiiishi iyo jumamoc? matendo yao ni ya hovyo
  8. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024

    Tangu tumecheza nao mbinu zote iz zilishafeli na hatujawahi toboa zaid ya vipigo vya goli 7 tu
  9. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024

    Huwa sibeti mkuu
  10. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024

    nan anashinda sasa
  11. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024

    lete na ya Niger na Uganda
  12. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024

    So unakubali matokeo yetu yako mikononi mwa mechi ya wenzetu ila c ya kwetu?
  13. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024

    Niger hana cha kupoteza ataachia
  14. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024

    kwan tunauza nchi?
  15. Symbiotic

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024

    Jana tu hawajapuuza na walikuwa away lkn wakamkanda Uganda pale pale. sasa na ukizingatia Uganda walivyokuwa wanautaka ule mchezo lkn wapi sasa cc je na ictoshe tuko kwao. alafu hatuna historianzur kule kwao hadi 7 huwa tunapigwa[emoji23]
Back
Top Bottom