Kanisa la Sabato Tanzania lijitathimini

Kanisa la Sabato Tanzania lijitathimini

Kanisa la Sabato limekuwa na fundisho kutoka kitabu cha ufunuo likieleza nyakati hizi zamwisho kuwa makanisa yote yataungana na serikali kutangaza amri ya Jumapili, na hata leo hii akionekana papa anaongea na Raisi wa Marekani basi sabato ijayo ndio itakuwa ajenda kubwa kuwa mambo yanaelekea mwisho wa dunia. Au aonekane Raisi akiwa na mazungumzo na wakatoliki basi inaonekana kuna jambo linakuja.

Why miaka hii kanisa la Sabato hasa Tanzania linashikama sana na serikali kuliko hata wakatoliki ? Ina maana wachungaji wanaaminisha waumini vitu ambavyo wao hawavishiki?

Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana kukuta viongozi wa sabato wakichangamana na viongozi wa dini zingine na hata serikali.Lakini miaka ya hivi karibu umeibuka mtindo wa viongozi wa sabato kuunga mkono serikali tena kwa vitisho na kwa wazi kabisa.

Tukio la J kikwete kwenda kuyaongea hayo tena huko kanisa la sabato charya kamageta mimi naliangalia kwa jicho ni tukio la kupanga la viongozi wa sabato maana kuna uhakika walijua tamko la TEC litatoka..Na kwasasa hakuna kanisa Lina chawa wengi kama sabato na wengine ni high rank kabisa hata wachungaji wapo na mmoja wa kiongozi mkubwa wa sabato wa muda mrefu inasememwa kwa muda mrefu ni mzee wa kaunda suti.
Sabato ijitathimini kama ina viongozi sahihi au machawa ndio wengi.
Naunga mkono hoja. Si Kwa sababu wamemualika Kikwete na maneno yake aliyotoa Bali Mimi ni Msabato Tangu mwaka 0 Hadi Leo. Sikuwahi kuona DC wala Mkurugenzi asiye Msabato akialikwa Kanisani kwenye sherehe za Kanisa. Huu utovu wa maadili kikanisa umeletwa siku za karibuni?
 
Kanisa la Sabato limekuwa na fundisho kutoka kitabu cha ufunuo likieleza nyakati hizi zamwisho kuwa makanisa yote yataungana na serikali kutangaza amri ya Jumapili, na hata leo hii akionekana papa anaongea na Raisi wa Marekani basi sabato ijayo ndio itakuwa ajenda kubwa kuwa mambo yanaelekea mwisho wa dunia. Au aonekane Raisi akiwa na mazungumzo na wakatoliki basi inaonekana kuna jambo linakuja.

Why miaka hii kanisa la Sabato hasa Tanzania linashikama sana na serikali kuliko hata wakatoliki ? Ina maana wachungaji wanaaminisha waumini vitu ambavyo wao hawavishiki?

Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana kukuta viongozi wa sabato wakichangamana na viongozi wa dini zingine na hata serikali.Lakini miaka ya hivi karibu umeibuka mtindo wa viongozi wa sabato kuunga mkono serikali tena kwa vitisho na kwa wazi kabisa.

Tukio la J kikwete kwenda kuyaongea hayo tena huko kanisa la sabato charya kamageta mimi naliangalia kwa jicho ni tukio la kupanga la viongozi wa sabato maana kuna uhakika walijua tamko la TEC litatoka..Na kwasasa hakuna kanisa Lina chawa wengi kama sabato na wengine ni high rank kabisa hata wachungaji wapo na mmoja wa kiongozi mkubwa wa sabato wa muda mrefu inasememwa kwa muda mrefu ni mzee wa kaunda suti.
Sabato ijitathimini kama ina viongozi sahihi au machawa ndio wengi.
Hili Kanisa Waumini wake Wote wataenda Mbinguni Kwa Sababu Wanasali "Jumamosi"Yaani hakuna Siku na Mikutano Yao wasiohubiri hii. Mbingu bcoz ya Jumamosi wameishika
 
N

Ndio hizo nyakati za mwisho!
 
Sikiliza radio hii:-

»AWR (Adventist World Radio)

»Morning Star Radio 105.3 DSM

TV tune in:-

»Hope Channel
Usimfundishe samaki kuogelea.Nimezaliwa kwenye usabato na familia inayoshika usabato kuanzia kusoma lesoni usiku na asubuhi na vyakula tulikuwa tunapika ijumaa..nasovesema watu kama akina Malekana na mwenzie lekundayo wanatumika kuingiza ajenda za ccm kanisani naelewa vizuri sana nachokimaanisha..
 
Mimi sipo HUKO mkuu samahani kwa kuvamia uzi wako
 
Mbona haushangai
1. Muhamad naye ni binadamu?
2. Muhamad hajui kusoma na kuandika?
3. Muhamad anamuoa binti wa miaka 9?
4. Unatumia lugha moja? Ukitumia lugha tofauti na kiarabu Allah hakusikii.
5. Unapanda ndege unaenda Macca kumponda jiwe shetani?
Hapa dunia haikwenda kwa kasi.
Kote huko imeenda kasi.......bila shaka.
 
Hili Kanisa Waumini wake Wote wataenda Mbinguni Kwa Sababu Wanasali "Jumamosi"Yaani hakuna Siku na Mikutano Yao wasiohubiri hii. Mbingu bcoz ya Jumamosi wameishika
Bila shaka hiyo Jumamosi atakuwa ndiyo mungu wao.
 
wasabato ni watu waliopotea, na nabii wao mke ELEN WHITE. white aliwahi kutabiri hivyo hivyo kuwa dunia ingeisha 1843, 1844, 1845 & 1851, matokeo yake hadi anakufa July 16, 1915 aliiacha dunia inadunda hadi kesho. sisemi dunia haitaisha, ninajua itaisha na hatujui siku wala saa, Mungu ndio anajua. ila elen white kujifanya ametabiri ndio ilidhihirisha kuwa alikuwa nabii wa uongo, mwanamke aliyekuwa amepagawa mapepo akaanzisha dini ya hovyo kupita zote. ameacha asalia, anaungua moto huko lakini uongo aliouacha kwa kutumiwa na shetani kama chombo umeendelea kupoteza watu kila siku.
Kwani msingi wa sabato ni nini?
Ni biblia au Ellen G White?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hili Kanisa Waumini wake Wote wataenda Mbinguni Kwa Sababu Wanasali "Jumamosi"Yaani hakuna Siku na Mikutano Yao wasiohubiri hii. Mbingu bcoz ya Jumamosi wameishika
Nani alikwambia kusali jumamoc tu kutatosha wao kwenda mbinguni? hujui hata uko kuna wanaosali jumamoc jina tu lkn hawaiiishi iyo jumamoc? matendo yao ni ya hovyo
 
Acheni kuwapiga wasabato kwa sababu ya kumualika Kikwete. Kimsingi, hakuna haja ya kumlazimisha mtu au taasisi ifuate msimamo flani, kila mtu aamini na kusimamia anachoamini. Ccm, chadema, act wametoa msimamo wao kuhusu bandari, hawa jamaa wasiooa nao wametoa msimamo wao, kuna taasisi nyingine hazijatoa misimamo yako ikiwamo wasabato. Kama ambavyo anataka kuheshimiwa unapotoa maoni yako, vivyo hivyo waheshimu wale walio kimya au wanaokinzana na wewe.
 
Kanisa la Sabato limekuwa na fundisho kutoka kitabu cha ufunuo likieleza nyakati hizi zamwisho kuwa makanisa yote yataungana na serikali kutangaza amri ya Jumapili, na hata leo hii akionekana papa anaongea na Raisi wa Marekani basi sabato ijayo ndio itakuwa ajenda kubwa kuwa mambo yanaelekea mwisho wa dunia. Au aonekane Raisi akiwa na mazungumzo na wakatoliki basi inaonekana kuna jambo linakuja.

Why miaka hii kanisa la Sabato hasa Tanzania linashikama sana na serikali kuliko hata wakatoliki ? Ina maana wachungaji wanaaminisha waumini vitu ambavyo wao hawavishiki?

Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana kukuta viongozi wa sabato wakichangamana na viongozi wa dini zingine na hata serikali.Lakini miaka ya hivi karibu umeibuka mtindo wa viongozi wa sabato kuunga mkono serikali tena kwa vitisho na kwa wazi kabisa.

Tukio la J kikwete kwenda kuyaongea hayo tena huko kanisa la sabato charya kamageta mimi naliangalia kwa jicho ni tukio la kupanga la viongozi wa sabato maana kuna uhakika walijua tamko la TEC litatoka..Na kwasasa hakuna kanisa Lina chawa wengi kama sabato na wengine ni high rank kabisa hata wachungaji wapo na mmoja wa kiongozi mkubwa wa sabato wa muda mrefu inasememwa kwa muda mrefu ni mzee wa kaunda suti.
Sabato ijitathimini kama ina viongozi sahihi au machawa ndio wengi.
Mkuu Katolic sijui Katoric Nadhani sio reference point kwa makanisa kwenye mambo yao.
Kama wao wameona kuna manufaaa kufanya hvyo kwann wasifanye?
 
Bibli
Kwani msingi wa sabato ni nini?
Ni biblia au Ellen G White?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Biblia kwa namna elen white alivyoamini, sivyo vile inavyotakiwa kutafsiriwa na kuaminiwa. ni mawazo tu ya nabii mwanamke aliibuka akawalisha matangopori wanahangaika nayo hadi kesho na Yesu akirudi atawakuta bado wanarukaruka tu.
 
Kuna dhambi kwa Wasabato kuwa na mahusiano mazuri na Serikali?
Kuna dhambi kwa Wasabato kuwa na mahusiano mazuri na watu wa dini nyinginezo?
Ni nani aliye na ushahidi kuwa amri ya Jumapili itakuja kutangazwa siku moja?
 
Back
Top Bottom