Recent content by sylvester p.m

  1. S

    JamiiForums Tanzania Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

    Ilibidi nibadili channel
  2. S

    JamiiForums Tanzania Namaliza degree mwaka, huu nataka kuchukua diploma

    Umeongea kitu.....
  3. S

    JamiiForums Tanzania Upi Ukweli kuhusu Uwekezaji wa FIC?

    Hii kitu kuna jamaa aliweka 4,000,000 hadi sasa ana zaidi ya Mil 24 na kila siku anaingiza karibu laki 5 ukimuuliza umeshawahi kutoa anasema bado ...anasubiri aingize laki 7 kwa siku ndo atoe ....wenye mitaji yao wajilipue hii hakuna kukosa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kofi moja tu akasema watoto sio wangu

    Kuna uzi humu unasema ....anachosema mtu akiwa na hasira ndio ukweli wenyewe......
  5. S

    JamiiForums Tanzania Madaktari wanaumia google kusoma vipimo

    Standard Treatment Guidelines.....
  6. S

    JamiiForums Tanzania Yanga tupeni mrejesho mechi ijayo ni ya mchezaji gani? Simba nani atakuwa mgeni Rasmi? Naona mmetangaza viingilio tu

    Mbona walishasema ni Siku ya Mashabiki.......
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani inaweza kutumika kumbadilisha mtoto anayeanza kuandika kutumia mkono wa kushoto?

    Kwa nini umbadilishe...kwanza mpaka hapo umeshachelewa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Huu ni mti Gani!? Kazi yake ni ipi!?

    Mitchell yote unayoiona ni dawa ....inategemea na sehemu ulipo.....
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

    Dah.....
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Suala la watumishi wengi wa serikali kuwa NMB ni kwamba hapo awali hadi kwenye miaka ya 2010, CRDB haikuwa na matawi mengi hasa wilaya zilizoko pembezoni hivyo ilikuwa mtumishi anapoajiriwa akiambiwa afungue akaunti lazima ataenda NMB kwasababu ndiyo benki pekee iliyopo....sasa angalau CRDB...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli shahada ya pili haitambuliki kwa watumishi wa Serikali?

    Uko sahihi kabisa ila sio kwa kada zote......
  12. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuwakumbuka Walimu waliotufundisha kuanzia chekechea hadi Chuo Kikuu

    Mwalimu PILI (R.I.P) Mkondoa Primary School......KILOSA
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nikumbusheni link ya uzi unaoelezea ndege ilodondoka uwanja wa taifa wakifanya maonesho

    Rubani kwa kuona umati wa watu uliopo wangekufa wengi, akajitahidi kwenda kuidondosha nje ya uwanja, akafa yeye na msaidizi wake. ..........
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya: Ushauri wa kuacha Kazi

    Huwezi pata loan hadi uwe na barua ya kuthibitishwa kazini ambayo hutolewa baada ya miezi 9 hadi mwaka.....
Back
Top Bottom