Recent content by syl_felix

  1. syl_felix

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Poa ntampa hi...nmwambie hi imetoka kwa nan?
  2. syl_felix

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Oi wale wa jkt ruvu oyooooooo
  3. syl_felix

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    usahili wa mwaka huu waliongeza na ma technologist kama Laboratory technologist na Architect
  4. syl_felix

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mi na JKT nlifanya usahili nkapita fresh xo npo njia panda jwtz bado hawajatoa updates ila jkt update teyari
  5. syl_felix

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ngoja niwatumie sample ya tangazo
  6. syl_felix

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Yah mi pia nlifanya usahili nlipita fresh ila nashangaa hakuna updates zozote hadi sasa
  7. syl_felix

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    walitoa matangazo ktk vyuo vya Technical collage ''Dar es salaam institute of technology,Mbeya university of science and technology na Arusha technical collage...!
  8. syl_felix

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    wasubiri utaratibu kutoka makao makuu ya jkt...
  9. syl_felix

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Hao ni mujibu wa sheria na wanasubiri utaratibu wao wa kuripoti lazima wao wawekewe majina na vikosi wanavyoenda na kozi yao ni miezi mi3 then wanarudi home.
  10. syl_felix

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    subiri utaratibu kutoka makao makuu ya jkt
  11. syl_felix

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Eli mringi nambie changamoto kubwa sana zinazo patikana huko... Mi nakuja huko nipo na zamo
Back
Top Bottom