Wakuu salam
Mchambuzi asante kwa maswali mazuri. Naomba nami kuongezea maswali mawili
1. Je huu ndo mwisho wa EL kwenye majukwaa ya siasa?
2. Endapo EL atabaki ndani ya CCM na akafanikiwa kuingia kwenye vikao, Ni madhara gani yataendelea ndani ya chama?
Wapi EL atapeleka mchango chamani...
Mkuu nashukuru unajua kuwepo kwa monetary na non monetary ( monetary in Kind) siye hiyo ni monetary kwa kutumia 'Opportunity cost theorem'.
Hongera kwa mfanyabiashara kufikia level ya kuacha kupiga deal ya hela kidogo na kujenga popularity..... akasubiria deal kubwa!.
By the way hela kidogo ni...
Kigwa
hayo umeelezea vizuri sana, nimeelewa visioni yako, na hakika yanafanyika. Japo nina maswali machache
1. umepeleka hoja ngapi, kwa kipindi chako kuiomba serikali ya CCM kumpatia kila raia BIMA ya afya?, we ni mtunga sheria
2. Ulichangia nini kwenye hoja ya Binafsi ya Elimu iliyoletwa...
Mkuu deal hapo siyo kiingilio tu, udhamini, matangazo n.k...... "once you are entrepreneur you take every opportunity" hivyo amini hakuna ka deal ( kubwa/ndogo) kwa mfabiashara..... principle ni inaleta faida? Yes fanya (kiwango siyo factor)
SP
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.