Recent content by Sweety Juma

  1. S

    JamiiForums Tanzania happy birthday to me!

    Happy birthday dear. Mungu akupe umri mrefu wenye afya njema.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni ndugu zangu wa damu,sipendi tabia hii.

    Ndugu pumzi zisikuhadaeeeeeeee!!!!!!!!!!!! maisha ugeukaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kupiga kavu kavu ni noma..!

    Wandugu tafadhalini mpaka sasa tiba haijajulikana, tujihadhari sukari tamu sana lakini ndio hiyoo sumu kibaooooo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jamani hizi kondomu zitatuua.......,daaaaaaaah

    Tuwe makini hili ni pigo takatifu wandugu......
  5. S

    JamiiForums Tanzania KWA WADADA TU!!!msaada tafadhali

    Nami nashauri fuata ushauri wa mimi49 ingia: Dinahicious-Sex, Relationships & Love.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu

    Ni kwambie tena tusingejua, kama huyu mwanamme au mwanamke kwani tungekuwa mwili mmoja.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Majina, misemo na maneno kwenye khanga

    Hahahahaha!!!! kazi kwelikweli mabo ya uswahili hayo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

    Jamaniiii kwakweli si tabia nzuri naomba tuwache.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ona, huyu

    Mh!!!!!! makubwa hayo.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Usipocheka hapa ni-pm nikurushie vocha!!.. Sijui kilaza nani hapa?

    Heeeeee!! mambo ya denti..........
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ninamuhitaji mwanaume (hiv+)

    Mimi ni Muislam na nipo Zanzibar.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ninamuhitaji mwanaume (hiv+)

    Asante dada nimekuelewa nasema Inshaallah kwa uwezo wa Mungu. Ck njema.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ninamuhitaji mwanaume (hiv+)

    Salam wana JF. Mimi ni mwanamke mwenye umri miaka 48 ambaye naishi na VVU natafuta mwanaume wa kuishi nae au kufunga ndoa, kama yupo tayari. Awe na umri kuanzia miaka 50-55, kwa ufupi nilikuwa na mume ambae nilimuamini na kumpenda sana yeye ni mfanyabiashara nje na ndani ya nchi baada ya miaka 4...
Back
Top Bottom