Kupiga kavu kavu ni noma..!

Kupiga kavu kavu ni noma..!

Ni ushauri mzuri sana na wa maana. Ila wakumbushe kuwa dawaya yote haya ni kuishinda tamaa ya zinaa!!!!!
 
Wadau MMU,
Napenda kushare nanyi hili jambo na lichukuliwe kama ushauri na ONYO.
Stori yenyewe ipo hivi kuna watu wengi sana wanapoanza uhusiano wa kimapenzi huwa wakini kwenye kutumia KINGA aka Condoms lakini baada ya kuzoeana kidogo huanza kuacha na kujifariji tayari wamezoeana na kujiridhisha kuwa hana UKIMWI na kuanza kula MZIGO kavu kavu,huwa najiuliza hivi MACHO na maelezo yake mafupi yatosha kuamini kuwa hana NGOMA na GITAA lake..?
Jamani wandugu tuwe makini UTAMU wa siku moja usije kukupa majuto ya maisha yako yote,pia kama mtu humwamini na una KIU na ile kitu tumia Condoms mwanzo mwisho,sio unapiga bao moja na Condom la pili umeshamwamini unavua Condom..Aisee hiyo ni KWERE...!! Kama unanyongeza ya ushauri nk karibu tushare experience..!!

kweli kabisa mkuu....yani nakumbuka wakati nakua enzi hizo,,wanawake walikua uzami bila ndomu...ila sasa nimekua ,,asilimia kubwa ya wadada naokutana nao unakuta anakuuliza kwani ndomu ya nini,,anamalizia na kusema mie plastik linaniumiza ilo ..:shocked:...
 
Sasa unataka kusema ukipata mpenzi ambaye umeanza nae mahusiano na hamkupima, na tayari alikuwa ameambukizwa Ukimwi utakusamehe kwa sababu utakuona upo na huyo kwa uaminifu?

Acha Uvivu nisome tena hiyo haikuwa maana yangu...
 
Last edited by a moderator:
Kulikuwa na kesi Uingereza, ilikuwa hivi: Jamaa na mke wake waliamua kutumia kondomu kama njia ya kuzuia kupata mimba zisizotarajiwa baada ya njia zingine zote kutoonyesha mafanikio. Aina ya kondomu waliyokuwa wakiitumia ilikuwa imeandikwa hivi "99% protection against STDs and Pregnancy". Sasa wapenzi hawa wakawa wanaitumia zana hiyo lakini baada ya miezi 2 yule mwanadada akashika ujauzito! Ndipo wakaamua kwa pamoja kwenda mahakamani kuishitaki kampuni iliyotengeneza zana hiyo kwa madai kuwa imewasababishia ujauzito pasipo matarajio yao. Katika utetezi, kampuni hiyo ilidai kuwa zana yao inatoa kinga kwa 99% tu, na siyo 100% kama ambavyo watumiaji walidhania. Hii ilimaanisha 1% iliyobaki ingeweza kusababisha mtu akapata mimba na magonjwa ya zinaa. Sasa swali ni je, kama kondomu ile iliweza kupenyeza shahawa hadi mwanadada akapata ujauzito, hivi kirusi cha ukimwi ni kidogo mara ngapi ukilinganisha na mbegu ya kiume? Na endapo zana za wenzetu ziko hivi, habari gani hizi za kwetu huku? Na kama wapenzi hawa hawakutumia zana hiyo ipasavyo, vipi uelewa wa watu wetu huku? Au tuko busy kutengeneza na kuuza/kugawa Dume na Salama kondomu tu bila kutoa elimu fasaha ya namna ya kutumia zana hizo??????????? Maswali ni mengi kuliko majibu, hivyo tafakari na uchukue hatua!
 
Wandugu tafadhalini mpaka sasa tiba haijajulikana, tujihadhari sukari tamu sana lakini ndio hiyoo sumu kibaooooo...
 
hahahaaaa umenichekesha ujue hasa ulivyoanza kumention jina lakeeee

we una mambo wallahi

Ha ha ha!!! wewe una miakili sana...kuanzia sasa nakubatiza kwa jina la JF kuwa Greti Thinka...na useme Amina...
 
..Jamani wandugu tuwe makini UTAMU wa siku moja usije kukupa majuto ya maisha yako yote,pia kama mtu humwamini na una KIU na ile kitu tumia Condoms mwanzo mwisho,sio unapiga bao moja na Condom la pili umeshamwamini unavua Condom.....
Tunatumia condoms lakini tunafanya "oral" (koni/chumvini!) na hata kutumia vidole vyetu (hasa sisi wa kiume) bila kujali kama vidole vina michubuko ama la (na mingine ni unnoticeable kabisa!).

Kwa sehemu kubwa nadhani haya mambo ni kama hayana ujanja vile! Na kwa kweli wengi wetu tunaendelea kuwepo kwa neema tu na hata si kwa sababu ya ujanja wetu wa kujikinga.

Akili huwa zinarudi baada ya tendo. Majuto ni mjukuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom