Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
wapendwa ndg zangu, haarini za leo!
leo ni siku yangu ya kuzaliwa 03.01....nimependa kuwajumuisha nanyi ndg zangu ktk furaha yangu hii... Asanteni!
Mi shida yangu ni kujua tu numefikisha miaka mingapi baaaaaaaaassss!!!!!!!!!