Recent content by sweet poison

  1. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA hoyee!

    Wadau, Nilipata majanga baada kupoteza simu sasa nimerudi upya naomba mnipomkee kiroho safi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Aibu hii mpaka lini midume?

    KAKA FUnguka vzr ushuri wko ni bora kwn utwasaidia wengi.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Aibu hii mpaka lini midume?

    Mficha uchi kifo humuumbua, kwa kiasi kikubwa wanaume wengi imegundulika kuwa na tatizo la KUMWAGA OIL mapema sana baada tu ya kudumbukiza mrija kwenye tank.Hali hii inaleta aibu kubwa sana kwa wanaume hasa vijana.NILIWAHI KUSIKIA KUNA VIDONGE VYA KUCHELEWESHA TAFADHALI NAOMBA ANAYEVIFAHAMU NA...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hili linakera sana!

    Mara nyingi nimekuwa nikihangaika na dish langu kuzitafuta chanel za Tbc na star tv lakini sizipati.wajua mi npo interior sana,km wamebadili frequency naomba anayefaham anitumie thnks
  5. S

    JamiiForums Tanzania msaada tafadhali

    naomba anayejua frequency za TBC1 NA STAR TV anisaidie
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji adaiwa kumnajisi mjukuu

    sasa km w2 hawajaoa wakachaji wapi cm zikiisha moto? acha wachomeke tu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nani anafahamu kuhusu hili

    Ndugu zangu Watanzania habari za mida hii, naomba nikusumbueni kwa anayefahamu ada ya mtihani kidato cha nne mwaka huu anijuze tafadhali.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani maana............enh!!!!!!

    kumbe ticha mzuri.....................una maana gn?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani maana............enh!!!!!!

    sijakuelewa naomba funguka fresh
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani maana............enh!!!!!!

    Habari wana mmu napenda niombe msaada kwenu kwa anayeweza kunisaidia.nipo ktk kwa miaka3 ss mwanzoni nilikuwa fiti sana kimchezo yaani mabao ilikuwa ni km kawa.lakini cku hz nipo luz sana tena cku hizi nikiingiza tu sichukui round namwaga oil. NAOMBA ANEYEWEZA KUNISAIDIA NJIA YA KUCHELEWESHA...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Josephat Issango afiwa na baba yake.

    Ondoa uzombi wako hapa we kenge,suala hapa nikutoa pole sio siasa.poleni sana wafiwa!!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ni Utapeli au mimi .............???

    Habari ya ijmaa ndg wadau! mm ni mwanachama wa BIMA YA AFYA nimepita hospitali nyingi hapa nchini kila ninapoandikiwa ile form ya matibabu garama yake nimeona ikiandikwa bei tofauti mfano.nilienda hospitali 1 kubwa ya mkoa fulani niliandikiwa shl20000.cha kushangaza vipimo vyangu vilionesha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania utachukua hatua gani .......kama ni ww.

    Hii ni live imemtokea jamaa yangu,mashetani yalimpata mke wake katika harakati za kufanya maombi ghafla mashetani haya yaliomba maombi yasitishwe kwani yalikuwa yanaumia sana.cha kushangaza yalitamka kuwa yameletwa na mama mzazi wa mwanaume.msaada kwenu wanajamii
  14. S

    JamiiForums Tanzania Maeneo hatari morogoro

    huogopi ukimwi? au huna dini? huduma utaipata ukioa!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Maeneo hatari morogoro

    habari wandugu!! nimeona leo nioneshe maeneo ambayo yamekuwa ni kichaka cha machangudoa hapa mkoani moro.1.cocobeach kati kati ya mji,2.karibu na stend ya mkoa,yawezekana kuna maeneo mengine hatari zaidi naomba tujuzane ili mamlaka husika zichukue hatua.NB;Jadili mada usijadili mtu.
Back
Top Bottom