Aibu hii mpaka lini midume?

Aibu hii mpaka lini midume?

Nasikia pia kuna spray ukipuliza juu ya hii kitu hakinywei upesi. Mie sio mtaalam ma dokta watatujuza
Dawa ni chakula bora samaki,ugali wa dona,matunda etc na sio junk food haifai
 
Haya darasa lenu hili for a change. Napita, mtanikuta kulee kwa mwanamke gogo anatakiwa apewe talaka.
 
Dawa ya kuchelewa kumwaga kwa wakati wa tendo mapenzi ninayo nitafute kwa wakati wako Niandikie baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com waweza pia kunitembelea blog yangu hii hapa bonyeza Mzizi Mkavu

Vipi kaka hujambo? Vijana wanawahi kumwaga kwa sababu ya kupiga sana Punyeto waache kupiga punyeto watakuwa wakichelewa au wawe wanakunywa kahawa chungu kabla ya mchezo kuanza au chokoleti watachelewa kumwaga mapema.

kaka sijambo, ndio matatizo a vijana haya... nikuwasaidia tu.....
 
Mficha uchi kifo humuumbua,
kwa kiasi kikubwa wanaume wengi imegundulika kuwa na tatizo la KUMWAGA OIL mapema sana baada tu ya kudumbukiza mrija kwenye tank.Hali hii inaleta aibu kubwa sana kwa wanaume hasa vijana.NILIWAHI KUSIKIA KUNA VIDONGE VYA KUCHELEWESHA TAFADHALI NAOMBA ANAYEVIFAHAMU NA GHARAMA YAKE ATUSAIDIE.
Dada usitake solution ya mda mfupi tafuta ya kudumu....talk to him mpe njia za kuchelewa na umuandae kisaikolojia!

Na pia aruhusu kuhema vizuri bila kuzuia pumzi akiwa ana-nail you hii itasaidia kutokulawanisha mapema!

Kingine kama anamwaga mapema kwanini usiinyanyue kwa kutumia manjonjo yako ili aingie kwenye round ya kuchelewa?

Jishulishe bana acha kusubiri mipira iliyokufa!
 
Punyeto iondoe hapo; mimi nimepiga sana punyeto nikiwa shule ya upili, nilikuwa na tabia ya kupiga punyeto bao likitaka kuja nalizuiya kwa kubana misuli kama unavobana mkojo uskojoe, nafanya hivyo ili niendelee kuskia raha ya punyeto bila kupiga bao (ukipiga bao unajiona mjingamjinga flan), mpaka nazeeka sasa sijapungukiwa nguvu yoyote, tena naweza kusimamia show hata masaa kadhaa bila kupiga bao, bao naliachia nikipenda tu au mwenzangu akichoka. baadaye nilikuja kusoma sehem kuwa kitendo kile ni kuifanyisha mazoezi misuli ya uume, hivyo inakuwa imara na unakuwa na self control. Vijana ya sku hizi wanaatiriwa na vyakula wanavyokula, chipsi soda utafkiri wanawake!

mkuu hapo nakubaliana na wewe...hiyo experience imenejienga sana bila kujua.....nyeto nimepiga kwa staili zote sema tu nilikua sipend ile hali ya kumwaga...nakua najickia vibaya including kujifeel guilty..so ikawa nazuia bao..mara nyingi sana i do the same...mpaka leo mwanamke yeyote akito.mbwa na mimi lazima akojoe amalize matatizo yake ndo na mie nishushe...tatizo vijana wwakisikia wazungu wanakuja wao wanajiachia tuuu sereeee...maanina lazma ile kwao
 
KAKA FUnguka vzr ushuri wko ni bora kwn utwasaidia wengi.
 
DAVIEY Sio wote bhanaaaa,Hebu nitake radhi
 
Last edited by a moderator:
Mficha uchi kifo humuumbua,
kwa kiasi kikubwa wanaume wengi imegundulika kuwa na tatizo la KUMWAGA OIL mapema sana baada tu ya kudumbukiza mrija kwenye tank.Hali hii inaleta aibu kubwa sana kwa wanaume hasa vijana.NILIWAHI KUSIKIA KUNA VIDONGE VYA KUCHELEWESHA TAFADHALI NAOMBA ANAYEVIFAHAMU NA GHARAMA YAKE ATUSAIDIE.
Usijizoeshe mavidonge yatakuchanganya itakuwa huwezi bila ya vidonge
 
Mficha uchi kifo humuumbua,
kwa kiasi kikubwa wanaume wengi imegundulika kuwa na tatizo la KUMWAGA OIL mapema sana baada tu ya kudumbukiza mrija kwenye tank.Hali hii inaleta aibu kubwa sana kwa wanaume hasa vijana.NILIWAHI KUSIKIA KUNA VIDONGE VYA KUCHELEWESHA TAFADHALI NAOMBA ANAYEVIFAHAMU NA GHARAMA YAKE ATUSAIDIE.

dah mpaka lowasa aapishwe tutashuhudia mengiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom