Recent content by Sweet mangi

  1. Sweet mangi

    Msaada nahitaji kupata usajili wa biashara yangu

    Aisee...!kama kiasi gani cha pesa kitahitajika..?
  2. Sweet mangi

    Msaada nahitaji kupata usajili wa biashara yangu

    Habari za jioni Wana JF ,Mimi ni kijana mjasiriamali ,nina jishughulisha na biashara ya kutengeneza na kuuza Milk products kama Yogurt na Cultured milk(mtindi) ila changamoto ninayopata ni baadhi ya wateja kutoamini ubora na usalama wa bidhaa hizi ,hii imesababisha niache kutengeneza kwa muda...
  3. Sweet mangi

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Habari zenu wana JF ni biashara gani ninayoweza kufanya kwa mtaji wa sh 200000, biashara ambayo haitachukua muda mrefu (Less than 2months) kuanza kuona faida.. AHSANTENI.
  4. Sweet mangi

    MSAADA niliapply masomo ya afya kupitia Nacte Central admission system(CAS) ila nimechaguliwa hapa

    Kama kuna yeyote Mwenye ufahamu kuhusu kozi hii anifafanulie tafadhali
  5. Sweet mangi

    Wizkid vs Man Fongo

    mi simjui huyo sholo mwamba..ila kama yupo bas Single moja ya Man fongo imehit kuliko album ya sholo
  6. Sweet mangi

    Wale wasichana 'wanaomegwa' na wazungu

    Sio kweli..kwenye ukame majani hayaoti
  7. Sweet mangi

    Wale wasichana 'wanaomegwa' na wazungu

    Sio kweli,Majani hayaoti sehemu penye ukame
  8. Sweet mangi

    Msaada kwa yeyote mwenye information kuhusu chuo cha kilimo na mifugo Tengeru Arusha

    Nina ndugu yangu amechaguliwa kujiunga na chuo cha kilimo na mifugo tengeru arusha kwa kozi ya certificate in Animal health and production kupitia mfumo Wa NACTE Central admission system (CAS) mwezi july....Ila kwenye profile yake bado Confirmation status ipo pending....je afanyaje?Kuna athari...
  9. Sweet mangi

    Wizkid asema kidogo ndio nyimbo bora na anayoikubali kwa sasa

    Atleast anatoboa kwasababu ya collabo,Ali kiba hata kwa collabo hatoboi[emoji23]
Back
Top Bottom