Nikikasirika mvua inanyesha

Nikikasirika mvua inanyesha

Kuna jambo la ajabu ambalo sijui ni Kwa nini inatokea hivi.
Kwamba ninapohitilafiana na mke wangu nikikasirika mara nyingi mvua inanyesha ni jambo ambalo limenitokea zaidi ya Mara tatu sijui nini maana yake wataalam msaada wenu Juu ya tukio hili.
Kama kila masika unagombana na mkeo unategemea nn???
 
Kitafsida ya mtaa mvua kunyesha ni mwanamke kuona siku zake za hedhi, sasa sijui unazungumzia mvua ipi ndugu.
 
Mkuu kuna watu wanachukulia utani, hata mie nishawahi kushuhudia mama mmoja ambaye ilikuwa Mara nyingi kama sio zote akifua tu mvua inanyesha hata kama hakukuwa na dalili ya kunyesha mvua,yani ilikuwa kama utani vile.
Kabla ya kuoa Mara nyingi nikifua shuka zangu pia mvua ilikuwa inanyesha hata kama hapakuwa na dalili japo ilikuwa inategemea na uchafu wa Shuka.(...... )
 
This thread got me cracking ..hahahah
 
Kuna jambo la ajabu ambalo sijui ni Kwa nini inatokea hivi.
Kwamba ninapohitilafiana na mke wangu nikikasirika mara nyingi mvua inanyesha ni jambo ambalo limenitokea zaidi ya Mara tatu sijui nini maana yake wataalam msaada wenu Juu ya tukio hili.
@mshanajr

Sent from mTalk
 
Kabla ya kuoa Mara nyingi nikifua shuka zangu pia mvua ilikuwa inanyesha hata kama hapakuwa na dalili japo ilikuwa inategemea na uchafu wa Shuka.(...... )
Mkuu umefanya nikumbuke baadhi ya matukio ya ajabu ya aina kama hii,tatizo watu huwa tunayapotezea ila mambo haya yapo.
 
Kuna jambo la ajabu ambalo sijui ni Kwa nini inatokea hivi.
Kwamba ninapohitilafiana na mke wangu nikikasirika mara nyingi mvua inanyesha ni jambo ambalo limenitokea zaidi ya Mara tatu sijui nini maana yake wataalam msaada wenu Juu ya tukio hili.
Kuna mvua aina nyingi bhana,habu fafanua ni mvua aina gani?,kuna mvua ya matusi,mvua ya kujikojolea,kukojolewa,mvua ya maji kutika mawinguni n.k,hebu fafanua.
 
Mvua kunyesha unamaanisha nini? Labda unakasirika majira ya mvua kwa sababu huwa ni majira ya joto na joto howeza kumfanya mtu asijisikie vizuri na akose kurelax hivyo kukasirika
 
Hata habari za kuhusu ushoga huwa watu hawataki kuzisikia ila kiuhalisia ushoga upo kwenye jamii zetu,hivyo hata mada hii watu wataifanyia mzaha ila mambo haya yapo.
 
Back
Top Bottom