Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,030
- 153,772
Kama ungempenda jirani yako, ungetaka aishi kama anavyotaka.Mpende jirani yako kama unavyojipenda
Wewe unamuonea wivu tu.
Unatamani na wewe uolewe na mzungu?
Kama ungempenda jirani yako, ungetaka aishi kama anavyotaka.Mpende jirani yako kama unavyojipenda
Unajuaje kwamba yeye kakosea na si wewe unayekosea?Hata kumuelekeza alipokosea pia ni upendo,
Huyo mtu anayewaita cold blood unakuta hajawahi hata kufanya nae chochote...jamani.Hivi wao si ni wanadamu inakuaje wawe na cold blood?
Kwani wao damu yao ni aina ya Poiklothemic kama ya nyoka? Au mnapenda tu kuwaita cold blood.
Kaachika.Kitu kibaya kuhusu penzi na mzungu ni kwamba huwa anamtumikisha sana mtu mweusi kitandani. Sanasana kumuingilia kinyume nyume cha maumbile , yaani ukiona demu yupo na mzungu we mpe pole tu , maana yanayompata ni balaa....
Sijui dada yetu Mange kimambi yeye anapatwaga na yapi, maana anawapemda kweli wazungu.
How do you know?halafu wazungu bila kula TIGO hawajisikii
Sidhani kama wote wapo hivyo.halafu wazungu bila kula TIGO hawajisikii
That's a nice question to ask...na ajibuHow do you know?
Sio kweli..kwenye ukame majani hayaotiKwan we shida yako nini? Mapenzi majan huota popote
HahahahahKwanini hayo majani hayaoti kwa wazoa taka? Au ardhi yao ina ukame???
si kweli wazungu ni wabaridi nimeshakuwa nao 2 na wala sijawahi kuona ubaridi wao haya maneno yakuwa wa baridi ni uongoHuyo mtu anayewaita cold blood unakuta hajawahi hata kufanya nae chochote...jamani.
Kama hauniamini we nenda kajipeleke kwa mzungu kama hajatoa marindaSidhani kama wote wapo hivyo.
nimeshafanyakazi na wazungu kwa muda wa miaka 4How do you know?
wanawapenda kwa ajili ya starehe tu then wanawaacha na maumivuNa ndio wanatupenda wadada wa kiafrika kuliko maelezo.