Recent content by Swedy mussa

  1. Swedy mussa

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

  2. Swedy mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EFM Sports HQ : Ni kipindi cha michezo au bango la matangazo ya biashara?

    Shukran kama umeliona hilo mkuu walikuja vizuri sana lakini siku zinavoenda ndio wasikilizaji watapungua matangazo hatukatai yasiwepo lakini yawe interval ya mda fulani kipindi kinaanza saa tatu lakini habari ya kwanza saa tatu na nusu hii sidhani kama iko sawa halafu michezo ya kimataifa...
  3. Swedy mussa

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Tanzania ni moja ya mataifa yenye watu wavivu sana Afrika

    Sure sikatai hii
  4. Swedy mussa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tunavitaka vyombo vya usalama vyote vitekeleze kazi zake kwa weledi, wataja namba za kutoa Mchango kwa Lissu

    Alafu ukijua ufanyie Nn Au unadhan hiyo Ni budget ya serikali [emoji23][emoji23]
  5. Swedy mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!

    Man city Man utd Arsenal Liverpool
  6. Swedy mussa

    JamiiForums Tanzania Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Matusi yametoka wap hayasaidii chochote bila hoja nadhan wana jf
  7. Swedy mussa

    JamiiForums Tanzania Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Mkurugenzi katoa jina tayari hili swala naona linaanza kuleta shida Au limekaa kisiasa zaidi
  8. Swedy mussa

    JamiiForums Tanzania Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Hahaha kafanya ziara ya kushtukiza kapewa mtaa siku akija serious atapewa MAKANKIA[emoji23]
  9. Swedy mussa

    JamiiForums Tanzania Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Umeona Aseee inauma sana
  10. Swedy mussa

    JamiiForums Tanzania Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Yaaah nakubalina Na Ww lakin sio kwa haraka kiasi hiki nadhani wapo waliostaili hii heshima pia kwa mchango wao
  11. Swedy mussa

    JamiiForums Tanzania Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Jamani wadau hili swala limekaaje wanyama naona kapewa jina la mtaa V. Wanyama street maeneo ya kinesi shekilango wakati Ma legend wa tanzania hapa sijawai kusikia hili swala Au kwa vile anachezea EPL? Mimi naona kuna haja ya Mitaa wachezaji wakakumbukwa Lunyamila na wengine wengi sababu ni...
  12. Swedy mussa

    JamiiForums Tanzania Ofa spesho kwa atakayeweza kubuni jina la duka langu!

    MWendokasi itafaa sana
  13. Swedy mussa

    JamiiForums Tanzania Ofa spesho kwa atakayeweza kubuni jina la duka langu!

    Mwendokasi itafaa
  14. Swedy mussa

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Geita Mkoa: Geita m 0745499610
Back
Top Bottom