Recent content by swaty

  1. S

    Jamani hizi supplementary kwa finalists UDSM zinatutesa

    Haya kaka yote ni maisha. Lakini degree ni uelewa siyo vyeti.
  2. S

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Chacha Wange: Amevishinda vita vilivyovikuu, mwendo ameumaliza imani ameishika. Roho yale ipumzike kwa amani AMEN
  3. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Wapenzi wasomaji wa JF, Niwatake radhi kwa kuotkuwepo kwangu kwa kipindi kidogo. Suala la Zanzibar halijatulitulia machoni pa wananchi wengi. Naona tu tuvunje tu huu muungano.
  4. S

    Daudi Ballali's Death

    Jamani ya kweli haya?? Mbona imekaa kisirisiri sana?? Tuamini kipi?? Serikali inasemaje? mkono mrefu wa kumsaka popote ndio huo? Mh, hata haiclick ubongo wangu. Let see.
  5. S

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Lakini tusilalamike sana kuhusu hawa wachaga kwani Mungu kawajalia vipaji vingi sana. Kwanza utafikiri hii inayoitwa pesa amezaliwa nayo, Pili huwa wanatreak nyingi sana za kusaka pesa. Lakini pia hata madarasani wanajitahidi sana pamoja na kwamba wote waume na wakike wakikaa hata ikulu...
  6. S

    Kuanzia leo anaitwaa Mheshimiwa Dr.AMANI ABEID KARUME.....

    Tumekupata freshi. Ila huyu mh, Dr. Amani Abeid karume naona kama hajiamini sana kwani anasema hawezi kufanya mazungumzo na CUF iwapo hawatatangaza hadharani kwamba yeye ni rais halali wa Zenji. Jamani kuna mlalahoi yeyote anhitaji kupelekwa darasani kumtambua huyu jamaa kama ni raisi wa...
Back
Top Bottom