Recent content by Swaju

  1. Swaju

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Daah nyumbani kabisa kwa mzee wangu huko, huko kuna mazao hatari, naenda J.3 kuvuna mahindi
  2. Swaju

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Duuh mapanda njia unapajua? Mimi naenda huko J 3
  3. Swaju

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Small
  4. Swaju

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Habari za mchana ndugu zangu, naomba mwenye uzoefu wa kilimo cha maharagwe anielekeze njia na hatua za kilimo hicho ili kuweza kupata mavuno mengi maana nahitaji kulima Aina hiyo ya kilimo, ushauri wenu muhimu sana Asanteni [emoji120] [emoji120] [emoji120]
  5. Swaju

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na kesi za Wapinzani

    Wewe una matatizo kweli, matusi gani wanatukana
  6. Swaju

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya NACTE yametoka?

    Kweli wewe ni mjinga maana umeshakariri kuwa kila anaesoma diploma au certificate alifeli, wengine tumefaulu vzr Zaid yako na tunaitaka hiyo diploma, unatamba ikiwa ulipata iii point 24
  7. Swaju

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na utawala usiofuata katiba

    Umetoka Kenya mpaka kwa lowassa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Swaju

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na utawala usiofuata katiba

    Lowassa sio mwizi maana mwizi hupelekwa mahakamani, lini lowassa kapelekwa mahakamani?? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Swaju

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na utawala usiofuata katiba

    Mwizi akiiba hatua ya kwanza ni ipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Swaju

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na utawala usiofuata katiba

    Ndio katiba ambayo na sisi wa tz tunatakiwa kuipigania, maana mwenzio akinyolewa zako Tia maji [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Swaju

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na utawala usiofuata katiba

    Lkn si umeona jinsi katiba imefanya kazi nzuri, kama isingekuwa katiba nzuri na kiongoz mwenye kufuata katiba leo kenyatta angekuwa ameshaapishwa, umeelewa sasa mkuu!!!? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Swaju

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tundu Lisu hajampongeza wakili mwenzie Orengo kwa kazi nzuri?

    Kama wewe hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Swaju

    JamiiForums Tanzania Nani kakuambia Kenya wanatuzidi demokrasia?

    Kumbe unaweza kuwa na elimu ukakosa akili ya kufikiria!!! Eti mwl [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Swaju

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na utawala usiofuata katiba

    Ni kweli kabisa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Swaju

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli,kwanini usimpe Hussein Bashe hata Unaibu Waziri wa Wizara ya Fedha?

    Angalia na zako maana mtu anayeongea ukweli ww unasema analialia au ulitaka awe anaitikia tu ndio na kugonga meza!!?
Back
Top Bottom