Recent content by suzy daniel

  1. S

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Jimbo la nyang'wale je? Mwenyekujua anijuze
  2. S

    Maombi ya kazi Jeshi la Polisi kwa wenye taaluma

    tatizo mnajivika fani ambazo hamna ujuzi nazo, kati yenu hakuna hata mmoja mwenye fani ya ualimu kwamaana angekuwepo angelitumia busara na lugha inayofaa kumuelisha mtu hta kumfundsha pia, kwaiyo acheni kujifanya wajuaji, kazi hyo wachien wenye fani zao. changia mada jinsi inatakiwa hayo mengine...
  3. S

    Elimu ya stashahada mawasiliano ya umma, natafuta kazi

    Habari wanajanvi, Mimi ni mdau wa JF na ninatafta kazi katika taasisi serikaini au binafsi. Elimu yangu ni Diploma ya Mass Communication. Nawaombeni wanaJF wenzangu kama kuna mtu ana mchongo wa kazi aniunganishe.
  4. S

    Biashara ya M-Pesa inalipa?

    wadau, naombeni msaada kwa wale wenye uzoef na biashara ya mpsa.nikuwa nahtaj kufanya biashara hyo je inalipa vzur? na utaratbu wake ili kuanzisha biashara upo vp?
  5. S

    Ni ipi biashara nzuri kwa Mkoa wa Geita?

    habar wakuu, kwa wanaoufaham vizur mkoa wa geita naomben msaada kuhusu hili,nina lak 5, pesa hiyo nahitaj kuifanyia biashara. sina uzoef wa biashara wara idea kuhusu nifanye biashara gani yenye soko zur kwa mkoa wa geita. nawaombeni msaada wenu.
  6. S

    Tangazo la ajira 51 almashauri ya wilaya ya Msalala-Kahama

    ama kweli,Ningejua nikasoma fan hzo
  7. S

    Ushauri wa bure kwa watanzania hasa vijana

    Kwa weweunaedai mtaj wa lak moja unatosha, heb twambie unatosha kwa kufanyia aina ip ya biashara? Mm pia sina kaz nataman kufanya biashara au kuajiriwa
  8. S

    Inawahusu vijana wakisabato tu

    tumia namba yangu 0759919873 endapo utahtaj maelezo mengne ila zaidi nenda kanisa lolote lilipo karb nawe la ki adventist uwaambie nahtaj kujiunga na kanisa la wakristo wa kweli hpa dunia(yaan kanisa la wasabato)
  9. S

    Inawahusu vijana wakisabato tu

    rubii uko serious kweli?
  10. S

    Maombi ya kazi Jeshi la Polisi kwa wenye taaluma

    ushoga peleka huko kwa mashoga wenzio mie siyo type yko , shukran kwenu mlionijuza kuwa niwe na subra ushaur wenu naendelea kuufanyia kaz
  11. S

    Maombi ya kazi Jeshi la Polisi kwa wenye taaluma

    kwa mwenyukujua naomba msaada. iv majina ya nafas za upolice kwa wenye taaruma mbalimbali yanatoka lin? mimi niliomba lakin nikasahau kuweka cheti cha fm 4 nikaweka resaltsleep hapo wanaweza niita kweli au ndo nshanjiwa baharini?
  12. S

    Inawahusu vijana wakisabato tu

    Wazee apana wenyenguv tu yaan vjana
  13. S

    Ugonjwa mpya wa kuvimba sehemu za siri

    Ndugu zangu wataalam wa sience kuhusu magonjwa, Kuna masage nimetumiwa inasema hivi, kuna ugonjwa ambao umeingia kwa wanawake ugonjwa huo ni wakuvimba sehemu za mwanamke(mashavu ya uke) baada tu ya tendo la ndoa na uvimbe huo husababshwa na fangasi. Swali langu: Je, nikweli kuvimba kwa...
  14. S

    Angalizo: Kama huna point usithubutu kabisa

    Tafadhali rafiki ndugu najamaa wote, Usitumie namba 0759919873 endapo huna jambo la maana na lenyekujenga.Toa hoja ya maana kwakutumia hekima na busara. Pia ileweke namba hyo si kwaajili ya uchumba wara ndoa, kama unania hiyo pia usithubu kabisa.
  15. S

    Inawahusu vijana wakisabato tu

    naona mnapga story tu jitambulishen bas tufahamiane unasema unaitwa nan upo wap mawasiliano yako pia
Back
Top Bottom