Recent content by SUZANE

  1. SUZANE

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mfadhili

    Maisha ni kisengele nyuma! wanayoyaelewa watanielewa, ndio maana nimesema nilijitahidi kupigana na imeshindikana
  2. SUZANE

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mfadhili

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Simu: 0255 023 2440032 Fax: 0255 023 2440149 Barua pepe:taasisisanaa@gmail.com Tuvuti: www.tasuba.ac.tz Unapojibu tafadhali taja: Kumb. Na...
  3. SUZANE

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mfadhili

    Nilikua najaribu kudownload ile fomu yao nimeshindwa
  4. SUZANE

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mfadhili

    Nawasalimuni nyote!! Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijipigania lau niweze kujilipia hata kozi ya cheti pale chuo cha sanaa Bagamoyo lakini kumbe mipango si matumizi. Kwa kipato changu nimeshidwa kabisaaa, kujiwekea akiba ili nikajisomeshe, lakini natamani sana na ninapenda sana nikasome ili cku...
  5. SUZANE

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

    jamani hakuna kazi ngumu kama kumfanya mtu mwenyestress zake kucheka, katika sanaa zote ya uchekeshaji ndio ngumu, na ndio maana unaona haina wachekeshaji, yaani kiujumla wachekeshaji waliopo Tanzania wanahesabika
  6. SUZANE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu kaniomba mdogo wake alale sebuleni kwangu kipindi hiki cha sikukuu

    mhhh
  7. SUZANE

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    mie chiriku mzee sidanganywi kwa uwele
  8. SUZANE

    JamiiForums Tanzania Yakobo

    Hahaaaaasss
  9. SUZANE

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Mhhh
  10. SUZANE

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kununua Treni, ni kielelezo cha siasa safi?

    Hahaha haaaaaa apigweeeeeee
  11. SUZANE

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kununua Treni, ni kielelezo cha siasa safi?

    Best umeonaeeee!! Mpotezee mcheza bao huyoo
  12. SUZANE

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Tendo la ndoa kuwa na sehemu maalum, najiuliza kwa nini sio puani wala kwingine, mwisho nasema Mungu ni Mungu
  13. SUZANE

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Kifo hata shetani anaweza kukuletea kifo
Back
Top Bottom