Recent content by Susy

  1. Susy

    JamiiForums Tanzania Zena wa TTCL Customer Service yake Hovyo - Soma haya majibu!

    zena unatuangu!! kitukama hukifaham mweleze mteja apige baada ya mda gn utakua na jibu sahihi, ukishindwa kujishusha na kuwa mnyenyekevu kwa mteja kama tulivyofundishwa unailetea cfa mbaya organization yk.
  2. Susy

    JamiiForums Tanzania Jeraha la Moyo:

    dah, inaelekea umeumizwa eeh! maana ulivyoandika kwa hisia !! pole
  3. Susy

    JamiiForums Tanzania Barua ya MwanaJF kwa mkewe....

    teh teh teh! uwii ii mbavu zng mie!
  4. Susy

    JamiiForums Tanzania huyu dada wa kimasai kaficha nini hapo?

    teh teh teh, best wamasai unawajua vzr?
  5. Susy

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kupeleka bidhaa na mazao comoro

    nahic nimekosea!
  6. Susy

    JamiiForums Tanzania PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    binafsi naamini MUNGU0 huwa anajitetea mwenyewe, kwa jambo hili lazima Yehova ashushe moto utakao chambua magugu na ngano. waislam ni ndg zetu tunawapenda ila kwa hili MUNGU na aingilie kati mwenyewe.
  7. Susy

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume na kike tuwe wasafi jaman!

    umeona eeh!!! toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio uone kibanzi kwenye jicho la mwenzio
  8. Susy

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume na kike tuwe wasafi jaman!

    hao 10 ulio waona uliwaambia??? je ulijuaje kama hawajaoga?? usipende kuchunguza maisha ya watu wengine ambao hawakusaidii!! nakushauri hangaika na maisha yako.
  9. Susy

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mrembo

    mwacheni achukue chake mapema!! Mbona mafisadi wlalio chukua ma milio ya fedha mmekaa nao hamuwakamati??????????? well done we mdada mie nikikuona wala hata siripoti popote.
  10. Susy

    JamiiForums Tanzania mchumba mpya

    Mhh!! watoto humu wanamaswali jamani!!!
  11. Susy

    JamiiForums Tanzania No ndoa kisa hajui ku do

    teh teh teh!! No coment.
  12. Susy

    JamiiForums Tanzania Mijitu Mingine!!!!!!!!!!!

    umenikumbusha mbali kaka!!! nibalaa tupu
  13. Susy

    JamiiForums Tanzania Ujauzito wa jf na majibu ya HIV

    teh teh teh!!! langu cheko tu lol!! hii ndio JF
  14. Susy

    JamiiForums Tanzania i cant sleep, help please!

    kashalala huyu!!!
  15. Susy

    JamiiForums Tanzania i cant sleep, help please!

    unawaza juu ya nini? mawazo ni sumu ya usingizi best. mshukuru Mungu then ulale, ondoa hofu na mashaka.
Back
Top Bottom