Mkuu izo ni dalili za magonjwa mengi sana fika karibu na kituo cha afya au hospital kubwa uonane na daktari, elisa ni kipimo kinachopima antibody za kinyemelea, ila waweza pima kipimo icho kingine kinaitwa western blot icho kinapima dna protein ya kinyemelea hata kabla mwili haujafika uwezo wa...
https://www.instagram.com/vifaa_vya_mazoezi/
Mkuu mcheck huyo jamaa atakusaidia na anauza na vitu nazani ni bora ukaanza na vitu basic then una upgrade ila ukipata bench na vyuma vyake set, tread mill ya manual usianze na umeme kupunguza running cost, dumbbell jamaa ana kila kitu hata kwa...
Mkuu nisaidie mie nategemea kuchimba kisima 30-50m under ground na pia juu ya ardhi kitasukuma maji hadi kama 5-10m, je hapa nitahitaji pump ya uwezo gani na kwa zilizopo bei zinaendaje? Kwa iyo pump lengo nikipump iwe mara moja au mbili kwa wiki nyingne zitasukuma drip irrigation na njia...
Mkuu nunua tu TD54W nazani unamaanisha, hakikisha unaangalia grade ya gari na sio just milegae ingawa bei yaweza kuwa juu kidogo, lakini ni gari zisizokuwa na magonjwa marakwamara nina uhakika ninao kwambia na ninzuri off road na highway kwa uzoefu wangu, ila tu size ya boot nyuma ni ndogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.