Naomba Ushauri

Mireni KJ

Member
Oct 13, 2013
10
5
Nataka kuchukua moja ya hizi gari.Nimeona ni vizuri kuomba ushauri kwenu wana JF kuhusu Changamoto, Uzuri na ubaya .
Chaguo langu ni kati ya haya:

1.Toyota Mark X
2. BMW 525i au 325i
3.Toyota Crown Royal
4. Subaru Legacy By
 
Nataka kuchukua moja ya hizi gari.Nimeona ni vizuri kuomba ushauri kwenu wana JF kuhusu Changamoto, Uzuri na ubaya .
Chaguo langu ni kati ya haya:

1.Toyota Mark X
2. BMW 525i au 325i
3.Toyota Crown Royal
4. Subaru Legacy By
Chukua BMW, kama umeiwaza utaimudu bro! Ni gari nzuri sana two friends wanazo ni sijawahi kuona wanalalamika na wana average TANZANIAN salary
 
Kama hupendi trips za garage, na wewe ni dereva mzuri, Crown Royal Salon inakuhusu. Kama ukichagua ambayo ni full loaded, kwa year model moja na BMW, Crown ni next level. They used to call it the Japanese S class. Na ni very reliable. Nothing fails on the crown, ni moja kati ya zile gari zinazoweza kufikisha km 500,000 huku unafanya service ya engine oil pekee.
 
Back
Top Bottom